Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mchawi wa Zanzibar ni Mwarabu, Kama Zanzibar ingekuwa watawala wake siyo Waarabu ingekuwa mbali we angalia kisiwa cha Comoro ni Waislamu ukiangalia wananchi wake wamechoka kama Wanzanzibar.
Comoros hawana upuuzi kama wa Zanzibar. Shida Yao hawana beach maisha ni ghali
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Mauritius ina mchanganyiko mkubwa wa wahindi.Wahindi wako aggressive kwenye mambo mengi.
Pili Mauritius ni taifa huru sio kama Zanzibar ilio semi autonomy.
Zanzibar ina historia ndefu kama nchi ilioweza kuwa kituo kikuu cha biashara ukanda wa Afrika Mashariki bado hata kwa mfumo wa Muungano inaweza ikafanya vizuri zaidi wakitumia fursa walio nazo.
 
Huwezi hata siku Moja kuminganisha Mauritius na Zanzibar Kwa Sababu kuu mbili.
1. Mauritius ni nchi iliyoendelea na Ina infrastructure Bora kuliko Zanzibar. Miundo mbinu ya Mauritius inakaribiana na ya ulaya na America wakati miundo mbinu y zenji ni mibovu kufa mtu

2. Mauritius ni family friendly linapokuja suala la Utalii wakati Zenji sio kabisa.

Namalizia Kwa kusema isingekuwa mbuga za wantama na vivutio vingine vya Utalii kutoka mainland Zanzibar ingekuwa na hali mbaya mno.

Shukuruni Mwingi anajitahidi kuweka mindombinu vizuri. The man has a vision japo mnamuona fala
 
Zanzibar hata haihitaji utalii . Mwananchi wa kawaida hajafaidika chochote na utalii. Zanzibar unahitaji kuwa huru kutokana na ukoloni wa Tanganyika inayojiita Tanzania
 
Shukuruni Mwingi anajitahidi kuweka mindombinu vizuri. The man has a vision japo mnamuona fala
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.

Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.

Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.
 
Mwinyi kafanya mengi Zanzibar wamtumie vizuri vinginevyo 2030 anarudi Home (bara) kuendeleza aliyofanya Dr Chief H
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Wapemba hamjai kuwa na akili.
Kuweni na akili mtajua mnakwama wapi.
 
Mchawi wa Zanzibar ni Tanganyika. Tanganyika waache kuikalia Zanzibar kimabavu
Zanzibar hata iachwe huru haiwezi kujiendesha.
Kisiwa cha watu vilaza jitambueni kwanza.
Mnasema tunawakalia kimabavu ilhali mmezaliana Tanganyika na mnanufaika kuishi Tanganyika!?
 
Mauritius ina mchanganyiko mkubwa wa wahindi.Wahindi wako aggressive kwenye mambo mengi.
Pili Mauritius ni taifa huru sio kama Zanzibar ilio semi autonomy.
Zanzibar ina historia ndefu kama nchi ilioweza kuwa kituo kikuu cha biashara ukanda wa Afrika Mashariki bado hata kwa mfumo wa Muungano inaweza ikafanya vizuri zaidi wakitumia fursa walio nazo.
kilwa iliwahikushamiri historia Kuna wakati haijirudii.
 
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.

Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.

Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.

faida ya Dr. Mwinyi ni ipi?
 
Hata ajenge njia Za dhahabu Mwinyi hawezi kuwarudishia viungo vyao hawa waliotiwa vilema wakati wa kuwekwa yeye Madarakani kwa nguvu Za dola , wachilia mbali wale waliouliwa, ni msiba mkubwa kukubali kutumiwa na kafiri Magufuli kuuwa waislamu wenzako ili upate maslahi ya kidunia. Na kwa jeuri aliyonayo anaona hamna mtu aliyeathirika. Bilisi kamkalia usoni asipate kuomba msamaha, Allah atuepushe na mitihani hii. Aamin
 
Zanzibar hata iachwe huru haiwezi kujiendesha.
Kisiwa cha watu vilaza jitambueni kwanza.
Mnasema tunawakalia kimabavu ilhali mmezaliana Tanganyika na mnanufaika kuishi Tanganyika!?
Kwani kabla uvamizi ikijiendesha vipi?? , na ipi ilikuwa mbele kiuchumi na maendeleo Afrika Mashariki na Kati ?
 
Kabla ya mapinduzi ilikua chini ya utawala wa Oman Sultanate.
Na haikua na uchumi wowote maana uchumi ulikua under Oman sultanate.
Kiufupi Zanzibar ikitaka iendelee ibadikile ki mentality.
Wapemba wana mentality za kijinga sana ni ndugu zangu nawajua.
 
View attachment 2992079
Kitu kingine kinachowatofautisha wala urojo na hao wa mauritius.
Hii ni ripoti ya uongo.
Maana hizo nchi ulizotaja hazina mifumo bora ya elimu isipokua Sychelles/Ushelisheli tu.
Ila kwa vipawa wako chini sana hasa hasa Sudan.
Mchukue daktari wa Tanzania fananisha na hao mbuzi wa hiyo list,hakuna anayemfikia wa Tanzania.
 
Nimefika Khartoum ni majanga tupu Bora hata mafinga
 
Back
Top Bottom