Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
Mauritius wanafikiri kizungu na kuishi kizungu,wewe unafikiri kiarabu na kuishi kiarabu ndiyo utegemee mafanikio kama Mauritius sahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comoros hawana upuuzi kama wa Zanzibar. Shida Yao hawana beach maisha ni ghaliMchawi wa Zanzibar ni Mwarabu, Kama Zanzibar ingekuwa watawala wake siyo Waarabu ingekuwa mbali we angalia kisiwa cha Comoro ni Waislamu ukiangalia wananchi wake wamechoka kama Wanzanzibar.
Mauritius ina mchanganyiko mkubwa wa wahindi.Wahindi wako aggressive kwenye mambo mengi.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Zanzibar hata haihitaji utalii . Mwananchi wa kawaida hajafaidika chochote na utalii. Zanzibar unahitaji kuwa huru kutokana na ukoloni wa Tanganyika inayojiita TanzaniaHuwezi hata siku Moja kuminganisha Mauritius na Zanzibar Kwa Sababu kuu mbili.
1. Mauritius ni nchi iliyoendelea na Ina infrastructure Bora kuliko Zanzibar. Miundo mbinu ya Mauritius inakaribiana na ya ulaya na America wakati miundo mbinu y zenji ni mibovu kufa mtu
2. Mauritius ni family friendly linapokuja suala la Utalii wakati Zenji sio kabisa.
Namalizia Kwa kusema isingekuwa mbuga za wantama na vivutio vingine vya Utalii kutoka mainland Zanzibar ingekuwa na hali mbaya mno.
Shukuruni Mwingi anajitahidi kuweka mindombinu vizuri. The man has a vision japo mnamuona fala
UpuuzJe unajua kwamba zanzibar imekuwa ranked as best island destination duniani 2024???
Na unajua kwamba data za mleta mada kwamba mauritius inapokea watalii 3m kwa mwaka ni uongo??
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.Shukuruni Mwingi anajitahidi kuweka mindombinu vizuri. The man has a vision japo mnamuona fala
Mwinyi kafanya mengi Zanzibar wamtumie vizuri vinginevyo 2030 anarudi Home (bara) kuendeleza aliyofanya Dr Chief HThree clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.
Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.
Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.
HOja inajibiwa kwa hoja ,dalili ya mtu mjinga ni kukimbilia kutukana badala ya kujibu hoja,Upuuz
Wapemba hamjai kuwa na akili.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Zanzibar hata iachwe huru haiwezi kujiendesha.Mchawi wa Zanzibar ni Tanganyika. Tanganyika waache kuikalia Zanzibar kimabavu
kilwa iliwahikushamiri historia Kuna wakati haijirudii.Mauritius ina mchanganyiko mkubwa wa wahindi.Wahindi wako aggressive kwenye mambo mengi.
Pili Mauritius ni taifa huru sio kama Zanzibar ilio semi autonomy.
Zanzibar ina historia ndefu kama nchi ilioweza kuwa kituo kikuu cha biashara ukanda wa Afrika Mashariki bado hata kwa mfumo wa Muungano inaweza ikafanya vizuri zaidi wakitumia fursa walio nazo.
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.
Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.
Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.
Three clap 👏🏾 👏🏾 👏🏾 mkuu.
Na nje ya mada kidogo, Wazanzibari hawaoni faida ya Dr. Mwinyi hata anayoyafanya sababu wameshajazwa roho ya katili ya kutojua kizuri.
Kwa sasa wanatumia ujinga wa wazanzibari kuwaambia jamaa ni mbaya na kutafuta udhaifu wake ndiyo wananchi wanalishwa huo.
Kwani kabla uvamizi ikijiendesha vipi?? , na ipi ilikuwa mbele kiuchumi na maendeleo Afrika Mashariki na Kati ?Zanzibar hata iachwe huru haiwezi kujiendesha.
Kisiwa cha watu vilaza jitambueni kwanza.
Mnasema tunawakalia kimabavu ilhali mmezaliana Tanganyika na mnanufaika kuishi Tanganyika!?
Kwani wao Wala urojo wana iq kiasi gani?View attachment 2992079
Kitu kingine kinachowatofautisha wala urojo na hao wa mauritius.
MmhKwani wao Wala urojo wana iq kiasi gani?mmh
Kabla ya mapinduzi ilikua chini ya utawala wa Oman Sultanate.Kwani kabla uvamizi ikijiendesha vipi?? , na ipi ilikuwa mbele kiuchumi na maendeleo Afrika Mashariki na Kati ?
Hii ni ripoti ya uongo.View attachment 2992079
Kitu kingine kinachowatofautisha wala urojo na hao wa mauritius.
Nimefika Khartoum ni majanga tupu Bora hata mafingaHii ni ripoti ya uongo.
Maana hizo nchi ulizotaja hazina mifumo bora ya elimu isipokua Sychelles/Ushelisheli tu.
Ila kwa vipawa wako chini sana hasa hasa Sudan.
Mchukue daktari wa Tanzania fananisha na hao mbuzi wa hiyo list,hakuna anayemfikia wa Tanzania.