Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Nimefika Khartoum ni majanga tupu
Si hao Sudanese wameletwa wamalize elimu yao hapa Tanzania?
Wengine Muhimbili na wengine UDSM.
Washatoa ripoti kuwa hapa kuna elimu konki kuliko Sudan na wataendelea kusoma hapa kwa maoni yao wanaona Tanzania papo bora katika usomaji kuliko Sudan.
 
Sudan labda elimu ya kubwatuka
 
Kabla ya mapinduzi ilikua chini ya utawala wa Oman Sultanate.
Na haikua na uchumi wowote maana uchumi ulikua under Oman sultanate.
Kiufupi Zanzibar ikitaka iendelee ibadikile ki mentality.
Wapemba wana mentality za kijinga sana ni ndugu zangu nawajua.
Mapinduzi / Mavamizi yalifanywa 1964 Januari.
Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Muingereza na ilipata uhuru 10 Disemba 1963 . Inavyoonyesha hata historia hujaisoma.
Msikilize Sheikh Ponda atakupa historia fupi

View: https://youtu.be/idQqiBrs6lE?si=eybLRjXuWlAxFHYP
 
woman-swimming-underwater-transparent-blue-ocean-mauritius-le-morne-attractive-169724565.jpg

Kuogelea Mauritius 👆
Kuogelea Zanzibar👇
2-piece-bath-jilbab-grey.jpg
 
Mapinduzi / Mavamizi yalifanywa 1964 Januari.
Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Muingereza na ilipata uhuru 10 Disemba 1963 . Inavyoonyesha hata historia hujaisoma.
Msikilize Sheikh Ponda atakupa historia fupi

View: https://youtu.be/idQqiBrs6lE?si=eybLRjXuWlAxFHYP

Yaonekana wewe ndio hujui historia.
Unafahamu kitu kinachoitwa MANDATE TERRITORY!?
Mathalan South Africa ilitawaliwa na Uingereza kama Mandate ila Boers ndio waliachiwa mamlaka.
As well as Zanzibar,Uingereza alishaacha utawala kwa Sultanate of Oman kabla ya hiyo 1963 kama alivyoachia utawala kwa Boers South Africa.
Matokeo yake wazulu wakatakiwa kupambana na makaburu ili wapate uhuru kamili
Zanzibar haikupata uhuru kamili kijana.
Authority yote ilikua chini ya Sultanate hadi hapo 1964 mapinduzi yalipofanyika.
Ila kiufupi UK ilishawaachia madaraka WaOman muda sana.
Kasome kitu Mandate territory ndio utaelewa.
 
Huu muungano huu ni upuuzi yani inatakiwa tuuvunje zanzibar wabaki gizani
Ukivunjika hawa watu watateseka kwa vitu vingi mkuu.
Mie kila mwaka huenda Unguka kupumzika hususan mwezi wa 10.
Huwa nazungumza nao sana na wao wanakiri muungano ukivunjika wazanziberi kwishnei.
Maana Zanziberi hakuna potentials kama bara,ndio maana hata wao hukimbilia sana bara kuishi na kuwekeza.
Jiulize kwanini hawawekezi kwao!?
Mathalan BAKHRESA.
 
Yaonekana wewe ndio hujui historia.
Unafahamu kitu kinachoitwa MANDATE TERRITORY!?
Mathalan South Africa ilitawaliwa na Uingereza kama Mandate ila Boers ndio waliachiwa mamlaka.
As well as Zanzibar,Uingereza alishaacha utawala kwa Sultanate of Oman kabla ya hiyo 1963 kama alivyoachia utawala kwa Boers South Africa.
Matokeo yake wazulu wakatakiwa kupambana na makaburu ili wapate uhuru kamili
Zanzibar haikupata uhuru kamili kijana.
Authority yote ilikua chini ya Sultanate hadi hapo 1964 mapinduzi yalipofanyika.
Ila kiufupi UK ilishawaachia madaraka WaOman muda sana.
Kasome kitu Mandate territory ndio utaelewa.

Yaani unataka kuniambia Afro Shirazi , ZPPP na ZNP walienda Uingereza kuomba uhuru wa mandate territory ??

Zanzibar haijawa Mandate hata siku moja , kasome wewe historia , hata Sheikh ponda hujamsikiliza hapo umekurupuka tu

Imepinduliwa serikali 1964 hata bado Polisi haijakabidhiwa Zanzibar Govt , ilikuwa ikiongozwa na Muingereza kwa taarifa yako

Na ndiyo mapinduzi yakawezekana , soma kitabu

kwaheri uhuru kwaheri ukoloni
 
Ukivunjika hawa watu watateseka kwa vitu vingi mkuu.
Mie kila mwaka huenda Unguka kupumzika hususan mwezi wa 10.
Huwa nazungumza nao sana na wao wanakiri muungano ukivunjika wazanziberi kwishnei.
Maana Zanziberi hakuna potentials kama bara,ndio maana hata wao hukimbilia sana bara kuishi na kuwekeza.
Jiulize kwanini hawawekezi kwao!?
Mathalan BAKHRESA.

Kwani kuteseka au kutoteseka nyinyi wabara inawauma kitu gani ??

kwani nyinyi hapo Tanganyika chini ya CCM hamuteseki na jinchi lenu lote hilo hamkimbilii Zanzibar kwa maelfu kutafuta ajira Zanzibar??

wengine wanalala kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , kuna Mzanzibari analala huko Tanganyika kama hivyo ??

Akili ya kiuchumi tunajua wenyewe namna ya kujiendesha nyinyi haiwahusu

Watu hukimbia hivi vibaraka vya Tanganyika ambavyo mnaviweka kwa nguvu ili kukimbia shida .

jaribuni mara hii kuwachia upinzani uchukuwe madaraka muone , muondowe haya majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa mwaka mmoja mwingi mtaona nchi itavyobadilika , tutavyopiga hatua mbali.

Uvamizi wenu mumeirudisha nchi miaka 700 nyuma kabla uvamizi wa mreno
 
Msikilize Karume sr huyo anavyosema

Yaani unataka kuniambia Afro Shirazi , ZPPP na ZNP walienda Uingereza kuomba uhuru wa mandate territory ??

Zanzibar haijawa Mandate hata siku moja , kasome wewe historia , hata Sheikh ponda hujamsikiliza hapo umekurupuka tu

Imepinduliwa serikali 1964 hata bado Polisi haijakabidhiwa Zanzibar Govt , ilikuwa ikiongozwa na Muingereza kwa taarifa yako

Na ndiyo mapinduzi yakawezekana , soma kitabu

kwaheri uhuru kwaheri ukoloni
😂😂😂😂😂😂Aisee bro uliruka somo la history nini?
Hivi unajua hata South Africa Muingereza alikua akitawala indirect kwa kugawana madaraka na Boers!?
Zanzibar ilitawaliwa kwa mandate kasome historia vizuri.
Mamlaka za juu ziligawanywa kwanza kwa UK kesha kwa Sultanate,kabla Uingereza hajaachia mamlaka yote kwa Sultanate.
 
😂😂😂😂😂😂Aisee bro uliruka soma la history nini?
Hivi unajua hata South Africa Muingereza alikua akitawala indirect kwa kugawana madaraka na Boers!?
Zanzibar ilitawaliwa kwa mandate kasome historia vizuri.
Mamlaka za juu ziligawanywa kwanza kwa UK kesha kwa Sultanate,kabla Uingereza hajaachia mamlaka yote kwa Sultanate.

Mimi siongei South Africa naongelea nchi niliyozaliwa ambayo huyo mfalme nilimkuta akitawaliwa na Muingereza. Tulikwenda kudai uhuru kwa muingereza na sio kwa mfalme , usibabaishe watu. Mfalme alikuwa ni figure tu hana mamlaka yoyote .

Sheria zote ni za Muingereza

Inaelekea bado hujamsikiliza Sheikh Ponda
 
Kwani kuteseka au kutoteseka nyinyi wabara inawauma kitu gani ??

kwani nyinyi hapo Tanganyika chini ya CCM hamuteseki na jinchi lenu lote hilo hamkimbilii Zanzibar kwa maelfu kutafuta ajira Zanzibar??

wengine wanalala kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , kuna Mzanzibari analala huko Tanganyika kama hivyo ??

Akili ya kiuchumi tunajua wenyewe namna ya kujiendesha nyinyi haiwahusu

Watu hukimbia hivi vibaraka vya Tanganyika ambavyo mnaviweka kwa nguvu ili kukimbia shida .

jaribuni mara hii kuwachia upinzani uchukuwe madaraka muone , muondowe haya majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa mwaka mmoja mwingi mtaona nchi itavyobadilika , tutavyopiga hatua mbali.

Uvamizi wenu mumeirudisha nchi miaka 700 nyuma kabla uvamizi wa mreno
Wabara wanaokuja huko ni hopeless walioshindwa kuendelea.
Pia embu piga sensa,waliojazana kwa wenzake nani kama sio Wapemba!?
Wapemba mamilioni mmehamia Tanzania na mnazaliana kichizi.
Yani tukiamua kufanya sensa wabara walioko Unguja hata milioni hawafiki.
Ila wapemba mlio bara zaidi ya milioni mbili.
Pia jiulize kwanini matajiri wa kipemba hupenda kuwekeza bara?
Kwasababu bara kuna nguvu kazi na potentials of adjustment.
 
Mimi siongei South Africa naongelea nchi niliyozaliwa ambayo huyo mfalme nilimkuta akitawaliwa na Muingereza. Tulikwenda kudai uhuru kwa muingereza na sio kwa mfalme , usibabaishe watu. Mfalme alikuwa ni figure tu hana mamlaka yoyote .

Sheria zote ni za Muingereza
Sasa unabisha nini kama sio Mandate?
South Africa nimetolea mfano ili uelewe nachokizungumzia.
Hasa hiyo ndio Mandate yenyewe,na hiyo 63 hamkupata uhuru kamili.
Mmedai uhuru mamlaka yakaachiwa mazima kwa waarabu.
 
Msikilize Karume sr huyo anavyosema

View attachment 2993258
Umegusia minor social development na wala hukugusia economic development.
Zanzibar ina utajiri upi!?
Au ndio mlikua mnajidanganya kwasababu ya mafuta mnaweza kuendelezwa na waarabu!?
Nchi inahitaji mfumo mzuri wa sera nzuri za za utawala na uchumi.
Na hizo sera nzuri za utawala na uchumi haziji kama jamii ni illiterate.
WaZanzibari wengi ni illiterants hawana uhemko.
Mnategemea mtaendeleaje!?
 
Wabara wanaokuja huko ni hopeless walioshindwa kuendelea.
Pia embu piga sensa,waliojazana kwa wenzake nani kama sio Wapemba!?
Wapemba mamilioni mmehamia Tanzania na mnazaliana kichizi.
Yani tukiamua kufanya sensa wabara walioko Unguja hata milioni hawafiki.
Ila wapemba mlio bara zaidi ya milioni mbili.
Pia jiulize kwanini matajiri wa kipemba hupenda kuwekeza bara?
Kwasababu bara kuna nguvu kazi na potentials of adjustment.

Matajiri wa kipemba hawako bara tu wako mpaka Zimbabwe, Msumbiji, South africa, Germany, belgium , Oman , UAE wako , saudia wapo hadi India wapi.

Wanaondoka Zanzibar , nimekuambia kwa shida wanazotiwa na watawala mliowaweka.

Labda hujafika huku siku nyingi kisiwa karibu kitazama kwa mlivyojazana. hao majeshi tu na usalama wa Taifa pamoja na Polisi wenye familia ni ma laki , hujaenda kwa wazamiaji na kinamama wanaokuja na utuitiri wa watoto wanaozaa ovyo huko kwenu .
 
Back
Top Bottom