Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Acha kufananisha nchi serious na takataka
 
Tanganyika iko wapi? Na nani anataka Tanganyika ili imuongezee nini? Au mnaiga wimbo tu wa wasakatonge akina Tundu Lissu?

Bandari kauziwa nani? Risiti za mauzo ziko wapi? Acheni kutetea uzembe na wizi wa wazawa pale TPA!!!

Wacha hao DP WORLD wapige kazi mpaka muogope. Mlizowea wizi tu kenge nyinyi

Kamwambie Lissu na Sultani Mbowe , mimi si Chadema
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Nyie mnaweza kula urojo tu
 
Wakiacha ubaguzi wa kidini na kimuungano, kujiona wao ndio watu special kwenye uislamu watatoboa... Lakini kama wataendelea kujiona waislam safi wasahau kutoboa

Maendeleo ya sasa hayahitaji uwe na msimamo 100% katika dini

Wawaangalie wenzao Saudi, Omani, Dubai, Qatar

Dini yenyewe ya kuletewa

Hakuna muislam wa kweli black , ukijiona weee ni black and Muslim , my friend, wewe unasindikiza waarabu. Iman ya kislam is only for Arabs ndio maana ukienda nchi za kiarabu and you are black , ukijiita Muslim wanakushangaa na kukupongeza

Blacks tafuten din zenu, wa Islam wa znz ni wa Islam pori wanapigania din ambao iliwafikia kwa utumwa na haiwatambui
 
Ndivyo ulivyoambiwa na Nabii wako Tito?
 
Dini yenyewe ya kuletewa

Hakuna muislam wa kweli black , ukijiona weee ni black and Muslim , my friend, wewe unasindikiza waarabu. Iman ya kislam is only for Arabs ndio maana ukienda nchi za kiarabu and you are black , ukijiita Muslim wanakushangaa na kukupongeza

Blacks tafuten din zenu, wa Islam wa znz ni wa Islam pori wanapigania din ambao iliwafikia kwa utumwa na haiwatambui
Kwenye Ukristu tunasema Mungu ndiye anatulinda na kutupigania. Kwenye Islam wanasema wanapigana kumlinda Allah wao.

Ndiyo nikajua kuwa kuwa Allah siyo Mungu
 
1715888142596.jpg

Kitu kingine kinachowatofautisha wala urojo na hao wa mauritius.
 
Kujifanya wajuaji wa dini ambayo walioianzisha wameshaiacha Zanzibar kuendelea mpaka hiki kizazi Cha waarabu feki kiishe
Hivi kwa nini msichukulie kuwa hivyo ndiovyo walivyo wazanzibar yani ndio taratibu zao walizojiwekea wao kama wazanzibari na si kwa sababu ya kidini?
 
Sasa mbona asilimia 85% zenji hawana marinda?
Ndio maana nasema hayo mambo mengine ni ya wazanzibari wenyewe na tuyachukulie hivyo hivyo kama wazanzibari na sio kwa sababu ya dini, hata huku bara watu wanapinga ushoga sio kwa sababu ya dini maana unakuta mtu ni mzinifu mzuri tu anatembea hadi na wake za watu ila anauchukia ushoga sasa mtu huyo utasema anapinga ushoga kisa dini?
 
Mchawi wa Zanzibar ni Mwarabu, Kama Zanzibar ingekuwa watawala wake siyo Waarabu ingekuwa mbali we angalia kisiwa cha Comoro ni Waislamu ukiangalia wananchi wake wamechoka kama Wanzanzibar.

Tanganyika ipo wapi? Nayo pia ina mtawala mwarabu?
 
Hivi kwa nini msichukulie kuwa hivyo ndiovyo walivyo wazanzibar yani ndio taratibu zao walizojiwekea wao kama wazanzibari na si kwa sababu ya kidini?

Mkuu kinachowatesa hao ni chuki za kidini, hayo mengine ni vijisababu wanavovitafuta ili wapate nafasi ya ku spred chuki zao.
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Udini ndiyo unawamalizeni
 
Back
Top Bottom