Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Mama kashauza Serengeti, Bandari zote, AIrport ya KIA, DART bado kuna mpango wa kuwaingiza katika kuiendesha SGR. Hii ya SGR ipo kwenye mchakato.Hivi mama alimuuzia mwarabu beach ipi huko Tanganyika ?? Mbona kuna wengi mnaowabaguana wengine wanasema hawataki uraisi apewe mchaga ?? huo si ubaguzi ??
Wewe Mtanganyika wa visiwani huwezi kuiona sababu umeshalishwa sumu kuvu!.faida ya Dr. Mwinyi ni ipi?
Mama hawezi kuuza chochote bila kushirikisha wa Tanganyika wenyewe. Nyinyi mumeichukuwa Zanzibar yote , hatukuwasikia kusema kitu ?Mama kashauza Srengeti, Bandari zote, AIrport ya Kia, Dart bado kuna mpango wa kuwaingiza katika kuiendesha SGR. Hii ya SGR ipo kwenye mchakato.
Haujui nguvu ya Raisi ndugu yangu na inaelekea haujawahi kuwa kwenye system. Kuna miaka tulienda pale michenzani wapangaji wanagoma kulipa kodi ? sasa tunabaki kujiuliza haya majengo tutayaendelezaje bila kodi ? Wajinga ni wajinga tu na usimwamshe aliyelala, ukimwamsha utalala wewe.Mama hawezi kuuza chochote bila kushirikisha wa Tanganyika wenyewe. Nyinyi mumeichukuwa Zanzibar yote , hatukuwasikia kusema kitu ?
Raisi mliyemuweka wenyewe?Haujui nguvu ya Raisi ndugu yangu na inaelekea haujawahi kuwa kwenye system. Kuna miaka tulienda pale michenzani wapangaji wanagoma kulipa kodi ? sasa tunabaki kujiuliza haya majengo tutayaendelezaje bila kodi ? Wajinga ni wajinga tu na usimwamshe aliyelala, ukimwamsha utalala wewe.
Raisi anawekwa na viongozi wa chama ndugu yangu kuna mgombea wa CCM aliyeshindwa uchaguzi ?Raisi mliyemuweka wenyewe?
Duniani serikali nyingi hazi ingii madarakani kama mtu anayekula ulojo na isiyo na mishikaki.Hata ajenge njia Za dhahabu Mwinyi hawezi kuwarudishia viungo vyao hawa waliotiwa vilema wakati wa kuwekwa yeye Madarakani kwa nguvu Za dola , wachilia mbali wale waliouliwa, ni msiba mkubwa kukubali kutumiwa na kafiri Magufuli kuuwa waislamu wenzako ili upate maslahi ya kidunia. Na kwa jeuri aliyonayo anaona hamna mtu aliyeathirika. Bilisi kamkalia usoni asipate kuomba msamaha, Allah atuepushe na mitihani hii. Aamin
Duniani serikali nyingi hazi ingii madarakani kama mtu anayekula ulojo na isiyo na mishikaki.
Viongozi wengi wanaua na hata usipoona wameua kupitia uchaguzi basi utasikia ajali za maana ambazo huwezi kutia shaka.
So utetezi wako ni sawa na kile nilichosema mmetiwa sumu na ndiyo hiyo inafanya kazi kwa kutafuta sababu.
Kwani before Dr. Mwinyi waliopita hawakuwaho kuumiza Raia?.
Mauritius 🇲🇺 hakuna uhamsho.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Swadakta mpe za pua.Si mna mama sasa hivi anawauzia waarabu
Hujatoa jibu kamili.Kati ya walioplan kuna Wazanzibar , Kwa taarifa yako planning ilikuwa ni ya Zanzibar tokea miaka ya 50s lakini uvamizi ndio ulioharibu kila kitu
Kuna Mzee anaitwa Al harith ndiye alikuwa mbele
Mimi siandiki kitabu sorry,Hujatoa jibu kamili.
Ukiwa na jibu kamili uje mkuu.
UmenikumbushaNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Na pia huyo jamaa asili yake ni PURE ARABIAN.Mimi siandiki kitabu sorry,
Sawasawa, mumetufilisi kwenye ile vita yenu na UgandaTanganyika waongezewe Kodi ikatumike kuendeleza utalii Zanzibar
Na pia huyo jamaa asili yake ni PURE ARABIAN.
Ni mwarabu wa Abu dhabi.
Sasa sijui anakuaje Mzanzibari!
Mie mnyamwezi wa Ndevelwa.Kwani wewe ni muarabu wa wapi ?