Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Hivi mama alimuuzia mwarabu beach ipi huko Tanganyika ?? Mbona kuna wengi mnaowabaguana wengine wanasema hawataki uraisi apewe mchaga ?? huo si ubaguzi ??
Mama kashauza Serengeti, Bandari zote, AIrport ya KIA, DART bado kuna mpango wa kuwaingiza katika kuiendesha SGR. Hii ya SGR ipo kwenye mchakato.
 
Mama kashauza Srengeti, Bandari zote, AIrport ya Kia, Dart bado kuna mpango wa kuwaingiza katika kuiendesha SGR. Hii ya SGR ipo kwenye mchakato.
Mama hawezi kuuza chochote bila kushirikisha wa Tanganyika wenyewe. Nyinyi mumeichukuwa Zanzibar yote , hatukuwasikia kusema kitu ?
 
Mama hawezi kuuza chochote bila kushirikisha wa Tanganyika wenyewe. Nyinyi mumeichukuwa Zanzibar yote , hatukuwasikia kusema kitu ?
Haujui nguvu ya Raisi ndugu yangu na inaelekea haujawahi kuwa kwenye system. Kuna miaka tulienda pale michenzani wapangaji wanagoma kulipa kodi ? sasa tunabaki kujiuliza haya majengo tutayaendelezaje bila kodi ? Wajinga ni wajinga tu na usimwamshe aliyelala, ukimwamsha utalala wewe.
 
Raisi mliyemuweka wenyewe?
 
Hata ajenge njia Za dhahabu Mwinyi hawezi kuwarudishia viungo vyao hawa waliotiwa vilema wakati wa kuwekwa yeye Madarakani kwa nguvu Za dola , wachilia mbali wale waliouliwa, ni msiba mkubwa kukubali kutumiwa na kafiri Magufuli kuuwa waislamu wenzako ili upate maslahi ya kidunia. Na kwa jeuri aliyonayo anaona hamna mtu aliyeathirika. Bilisi kamkalia usoni asipate kuomba msamaha, Allah atuepushe na mitihani hii. Aamin
Duniani serikali nyingi hazi ingii madarakani kama mtu anayekula ulojo na isiyo na mishikaki.

Viongozi wengi wanaua na hata usipoona wameua kupitia uchaguzi basi utasikia ajali za maana ambazo huwezi kutia shaka.

So utetezi wako ni sawa na kile nilichosema mmetiwa sumu na ndiyo hiyo inafanya kazi kwa kutafuta sababu.

Kwani before Dr. Mwinyi waliopita hawakuwahi kuumiza Raia?.
 
Duniani serikali nyingi hazi ingii madarakani kama mtu anayekula ulojo na isiyo na mishikaki.

Viongozi wengi wanaua na hata usipoona wameua kupitia uchaguzi basi utasikia ajali za maana ambazo huwezi kutia shaka.

So utetezi wako ni sawa na kile nilichosema mmetiwa sumu na ndiyo hiyo inafanya kazi kwa kutafuta sababu.

Kwani before Dr. Mwinyi waliopita hawakuwaho kuumiza Raia?.

Shein tu hakuuwa mtu wengine wote waliuwa.Lakiini walikuwa hawaingii misikitini kujipakazia , huyu alitaka kujipakazia kwa watu kuwadanganya na watu walimstukia toka mwanzo. Kwani kiislamu ukiuwa muislamu kwa kukusudia husamehewi ni motoni tu. Sasa wewe unayekazania ulwa wa miaka 10 kwa kuuza akhera ya milele ni uamuzi wako
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Mauritius 🇲🇺 hakuna uhamsho.
 
Ile kitu hunishangaza kama mkenya, ni mbinu gani Tz mmetumia kuzuia ugaidi. Mombasa imejaa salafi wengi mno. Uzuri ni kwamba Prince MBZ alikataa uwekezaji kwa misikiti ya Wahhabi. Siku hizi hawana pesa ya ugaidi.

Vijana wengi sana huwaunga mkono Al shabaab kwanza pale lamu na likoni. Sijawahi sikia ugaidi zanzibari. Halafu Tanzania hupata watalii waingereza wengi kuliko kenya.
 
Kati ya walioplan kuna Wazanzibar , Kwa taarifa yako planning ilikuwa ni ya Zanzibar tokea miaka ya 50s lakini uvamizi ndio ulioharibu kila kitu

Kuna Mzee anaitwa Al harith ndiye alikuwa mbele
Hujatoa jibu kamili.
Ukiwa na jibu kamili uje mkuu.
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Umenikumbusha

Napanga kutoka na familia. Kama una experience na Mauritius please naomba tips
 
Back
Top Bottom