Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius hawategemei wajomba kutoka uarabuni.
 
Kwa akili zake kisoda huyo Jagina unadhan kuna cha maana anaweza kuongea??
Huyu n sawa na mtoto mwenye ulemavu wa akili kelele nyingi point za kutafuta kwa tochi
Wewe Leo muzungu wako hayupo unatafuta mtu akukune jf, Mimi sili boga
 
Kwani huyo kwenye picha ndiye mnayemuabudu?
Nimekuja kugundua huna akili bwana mdogo, huna la kujitetea, hapo unapindisha tuu mada, hio profile picture ina maneno yanasema "open up its jesus" na kuna mtu anagonga mlango kashika bastola, hata mtoto anaelewa una maanisha nn.

kiufupi hujielewi na Sidhani kama haya maongezi yanafaida kwangu, kwaheri.
 
usiahangaike na hili bwabwa!! mtu anashinda anaangalia video za mashoga mtandaoni unadhan anaweza kua sawa! acha na hili bwabwa utajichosha bule
 
Yaani Jesus ni jina la mungu wako tu ?na ni muzungu Si muafrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…