BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Sawa mkuu.Solution ni kuhama.
Nyumba hakuijenga Yeye iweje avunje mikataba ya nyumba ya mtu mwingine ambaye anaamini mikataba hiyo ni halali sawasawa na miungu yake?
Tupambanie tujenge nyumba zetu na tumkabidhi Mungu wetu azilinde, au ahamie nyumba ya watu wenye mikataba na madhabahu inayoendana na Imani ya Mungu wake.
Amen
Pole, ila Usichanganye Imani kama unatumia udi, chumvi, ubani, hirizi na vinginevyo tumia hivyo tu.
Na kama unamkiri Yesu Kristo Bwana au damu yake hakikisha una uhalali wa kulitumia. Uwe safi hakuna chochote kitakacho kusumbua maana yeye hachangamani na yeyote.
Jina lake na Damu yake linajitoshereza kukusaidia maana yeye ndio njia ya kweli na uzima huwezi fika kwa Baba bila kupita kwake.
Halafu hayo mandoto ya mababu, wazazi, mke au ndugu waliokufa kiimani sio ishara nzuri kwani hakuna ushirika kati ya wafu na walio hai ni roho zinazotaka kukurudisha nyuma na kupooza mambo na mipango yako
Uko tayari kujifunza mpendwa?Hakuna vya kunirithisha wazee wangu walikuwa watu wa ibada sana π nahisi hii nyumba Ina kitu hakiko sawa
Hayo mambo huwa hayampati mtu hivi hivi bila ya yeye kuwa na connection na vitu hivyo, inaonesha hiyo nyumba ina negative energy zimeweka makazi humo, solution ni kuhama tu hapo afu ili zisikufuate huko uendako endelea kuwa na imani uliyonayo, hayo maviumbe huwa yanamuogopa sana JESUS CHRIST.Sijachanganya lolote,damu ya Yesu nilitamka usingizi wakati nakabwa.Hii nyumba nimeambiwa aliyekuwa anaishi alikuwa mganga na alikuwa anaitumia kuagulia watu.Muda sio mrefu katoka kunipigia,sikuwa kwenye mazingira ya kupokea,nikitoka job ntampigia nione alikuwa ananitafutia nini.
Ushauri wangu.Sina miungu ndugu yangu π nahisi huo udi umeenda kuamsha ishu za watuπ€£saiv nimetoka kuongea na mwenye nyumba kanambia atakuja hapo home kesho tuongee,manake yeye anaishi kijijin huko,hii nyumba kaijenga mjini ya kupangishaπ ni msukumaπ€£π€£
Aombe ulinzi kwa kiumbe alie shindwa kujilinda na kuokoa maisha yake binafsi?.Ita Jina la Yesu, sali, omba ulinzi wake, jiweke chini yake
Yap nimeaxhana na ishu za udi na kuhama sihami,nishalipa miezi 6 kamili halafu hakuna refundUshauri wangu.
Simama na Mungu unayemwamini atakushindia.
Hiyo sio nshu ngumu mbona?
Udi na damu ya Yesu ni mbingu na ardhi mama/rafiki
Anyway,ngoja nifupishe....Ndugu yangu sifahamu namna ya kuziombea ndoto kibibilia,na isitoshe ndoto za wazee wangu naziota sana,sielewi tatizo ni nini,nimeuliza baadhi ya watu wazima wamenambia Nina mizimu ya ukoo,so sielewi ndugu,labda unisaidie jinsi ya kudil nazo.
Ukihama utahama nayo, pambana ushinde ulete heshima.Yap nimeaxhana na ishu za udi na kuhama sihami,nishalipa miezi 6 kamili halafu hakuna refund
Kuna namna ya kuombea ardhi hiyo ,ila ss mpaka uwe na hayo maarifa ya namna ya kuomba bila kugombana na hiyo miungu ....Yap nimeaxhana na ishu za udi na kuhama sihami,nishalipa miezi 6 kamili halafu hakuna refund
Endelea kuwapelekea moto wa damu ya Yesu mpaka wahame waoYap nimeaxhana na ishu za udi na kuhama sihami,nishalipa miezi 6 kamili halafu hakuna refund
Mimi Wala siondok na Nina nguvu za kuwashinda manake nilipoita damu ya Yesu ndotoni nilishinda na wakaniachia,kesho mwenye nyumba kanambia anakuja,halafu ajabu kanitafuta mwenyewe bila mimi kumtafuta namsubir nimsikilize na nitamwelezea kuhusu huyo mpangaj alotoka kama vipi aje atoe mizigo yake aliyoiacha πEndelea kuwapelekea moto wa damu ya Yesu mpaka wahame wao
Yesu ndiye anayekupa PUMZI Bure.Aombe ulinzi kwa kiumbe alie shindwa kujilinda na kuokoa maisha yake binafsi?.
Narudia tena kabla hujalala nyunyuzia lango lango la ndoto na damu ya Yesu wa nazareth usiache fanya kwa imaniHabari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa mananiπ
Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba na vinywaji, specifically soda, aliniomba Bibi mzaa mama.
Yani nilikuwa naona ndoto za kuwahusu wao na ndugu wengine walio hai katika familia. Ni wiki niliyokuwa najihisi huzuni na upweke sana bila sababu.
Basi Jumatatu nilipotoka job nikaenda kwenye msikiti wa jiran Kuna duka la dawa za kisuna nikanunua udi flan hivi huwa unatumika kuombea watu waliotangulia mbele za haki. Nikarudi nyumbani nikaoga, nikala then nikauchoma nikiwaombea pumziko hasa Bibi na mama, then kwenye saa kumi na moja nikalala,nimejiwekea utaratibu wa kulala mchana nikiwa free.
Ndani ya nusu saa toka nilale nikaota mwanamke mmoja mtu mzima kavaa upande wa kanga kajifunika Hadi kifuani, kasimama dirishani mwa chumba changu lakini kanipiga mgongo, hivyo sikumwona sura,then nikastuka toka usingizini, nikabadil upande nikarud kulala, this time kama nusu saa baadae nikaota nakabwa pumzi na mtu nisiyemwona huku amenikandamiza kichwa chini,nikawa napambana kujinasua huku nikitaja damu ya Yesu niokoe, nilihangaika kwa muda then akaniachia na nikaamka ghafla. Sikulala tena, nikaamka na kuendelea na ratiba nyingine ya kumalizia siku.
Kulipopambazuka, nikajiandaa, nikachoma udi then nikaingia mzigon, then saa 11 baada ya muda wa mkoloni, nikaenda sokon nikanunua chumvi ya mawe nikarudi home nikaipigia deki chumbani na sebuleni. Nikachoma na udi ule wa kuwaombea wazee wangu, nikaendelea na ratiba nyingine na hali ikaendelea kuwa shwari hata zile ndoto zikakata.
Kimbembe nimeamka leo nikajiandaa niende job, kabla sijatoka natafuta udi zangu zilizobaki nichome sizioni, nimekagua kote sijaziona, na ninaishi peke yangu, hii nyumba Ina usalama wa kutosha, nimebaki na bumbuwazi. Hapa nimepanga nikitoka job nikanunue za kutosha pamoja na ubani, manake hii nyumba nina wiki tu toka nihamie. Maoni yenu wadau.
Asante mkuu nitatekeleza πNarudia tena kabla hujalala nyunyuzia lango lango la ndoto na damu ya Yesu wa nazareth usiache fanya kwa imani
Mim mauza uza kama hayo natumiaga damu ya Yesu yanaondoka na hayanisumbuagi na huwa nayashinda sana kuna siri kubwa sana kwenye damu ya Yesu
Mda mwingine wanatabia ya kukuuliza yesu yupi waambie yesu wa nazarethAsante mkuu nitatekeleza π
πππ Basi niite tulale wote, anyway hujulikani upo upande upi? Udi au YesuMie mwanamke na nasali sana
Yesu ni Mungu ndani ya mwanadamu, alikuja kuwakomboa watu na kuonesha namna tunavyopasa kupendana hata ikibidi kufa kwa ajili ya wenzetu. Yesu ni Jina Lipitalo Majina yote, hakuna mapepo yanayoweza kusimama Jina hili likitajwa!Aombe ulinzi kwa kiumbe alie shindwa kujilinda na kuokoa maisha yake binafsi?.