Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

Unachokosea unafanya IBADA ZA UMIZIMU

ibada za Wafu au UMIZIMU BIBLIA imekataza ,ila Roman Catholic imeruhusu ndio maana hayo madudu yanawatokea

Achana na chumvi, sijui udi, maji ya mwamposa, n.k

Amini kwa JINA LA YESU

Usikimbie NYUMBA ,NI AIBU KWA MTOTO WA KIFALME KUWAKIMBIA WACHAWI/MIZIMU

Aliye upande wetu ana nguvu kuliko wao
Acha kutufundisha ujinga uliofundishwa wewe.... mizimu ni nini ?!!![emoji849][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo ni roho za mizimu au miuungu ya familia yenu inahitaji kufanyiwa ibada,kulikuwa na aina ya hayo matambiko kwenye familia yenu,kiongozi wa familia anafahamu utaratibu.Kimsingi unaowaona SI baba yako ,mama yako au bibi yako hiyo ni miungu ya kizazi chenu ambayo walikuwa na mikataba nayo,vile unavyofanya utajiletea matatizo makubwa zaidi Kwa kuwa huelewi ni codes Gani walitumia Babu zako kuwasiliana na hao mizimu,utatengeneza ishue kubwa zaidi,nenda kanisani utubu na uokoke vinginevyo Kila kitu kitakufa kwenye maisha yako .
Kisomi kabisa unataka kutuambia umefanya tafiti kwa hao "waabudu mizimu" KILA VITU VYAO VIMEKUFA?!!!!
 
Utaratibu wa jinsi ya kumwabudu Mungu unatolewa na Roho mtakatifu, na IBADA ni ya Roho Si mwilini na mazoea.

Imeandikwa: Nao wamwabuduo halisi watamwabudu katika Roho na Kweli.

Haikuandikwa ukitaka kuabudu ushike msaafu au Rozali, hizo ni IBADA za mwilini zisompendeza Mungu.
Duuuh [emoji849][emoji1787][emoji1787]
 
nikawa napambana kujinasua huku nikitaja damu ya Yesu niokoe, nilihangaika kwa muda then akaniachia na nikaamka ghafla.

Hicho ulichofanya hapa ndio unatakiwa kukifanya kila wakati

Kuota watu waliotangulia sio kitu chema sana, inawezekana Ile roho iliyowameza nayo inakutafuta ikumeze.

Achana na kusema unawaombea, ila omba kwaajili yako na umshukuru Mungu kwaajili ya ule uhai wao. Hakuna kitu unaweza wasaidia wala hakuna kitu wao wanaweza kukusaidia kwa sasa.

Unatakiwa kuwa na mfululizo wa maombi kuondoa hiyo hali
 
Sijachanganya lolote,damu ya Yesu nilitamka usingizi wakati nakabwa.Hii nyumba nimeambiwa aliyekuwa anaishi alikuwa mganga na alikuwa anaitumia kuagulia watu.Muda sio mrefu katoka kunipigia,sikuwa kwenye mazingira ya kupokea,nikitoka job ntampigia nione alikuwa ananitafutia nini.
Hama hapo usipende kununua kesi za waganga zisije kukutia nuksi inahitaji mtu mwenye maombi makubwa sana au mtaalamu bila hivo roho ya mauti itakuvaa
 
Swali ambalo huwa najiuliza pasipo majibu,kwa nini haya mambo yanawaanfama wanawake tu kwa nini sio wanaume?
 
Habari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa manani🙏

Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba na vinywaji, specifically soda, aliniomba Bibi mzaa mama.

Yani nilikuwa naona ndoto za kuwahusu wao na ndugu wengine walio hai katika familia. Ni wiki niliyokuwa najihisi huzuni na upweke sana bila sababu.

Basi Jumatatu nilipotoka job nikaenda kwenye msikiti wa jiran Kuna duka la dawa za kisuna nikanunua udi flan hivi huwa unatumika kuombea watu waliotangulia mbele za haki. Nikarudi nyumbani nikaoga, nikala then nikauchoma nikiwaombea pumziko hasa Bibi na mama, then kwenye saa kumi na moja nikalala,nimejiwekea utaratibu wa kulala mchana nikiwa free.

Ndani ya nusu saa toka nilale nikaota mwanamke mmoja mtu mzima kavaa upande wa kanga kajifunika Hadi kifuani, kasimama dirishani mwa chumba changu lakini kanipiga mgongo, hivyo sikumwona sura,then nikastuka toka usingizini, nikabadil upande nikarud kulala, this time kama nusu saa baadae nikaota nakabwa pumzi na mtu nisiyemwona huku amenikandamiza kichwa chini,nikawa napambana kujinasua huku nikitaja damu ya Yesu niokoe, nilihangaika kwa muda then akaniachia na nikaamka ghafla. Sikulala tena, nikaamka na kuendelea na ratiba nyingine ya kumalizia siku.

Kulipopambazuka, nikajiandaa, nikachoma udi then nikaingia mzigon, then saa 11 baada ya muda wa mkoloni, nikaenda sokon nikanunua chumvi ya mawe nikarudi home nikaipigia deki chumbani na sebuleni. Nikachoma na udi ule wa kuwaombea wazee wangu, nikaendelea na ratiba nyingine na hali ikaendelea kuwa shwari hata zile ndoto zikakata.

Kimbembe nimeamka leo nikajiandaa niende job, kabla sijatoka natafuta udi zangu zilizobaki nichome sizioni, nimekagua kote sijaziona, na ninaishi peke yangu, hii nyumba Ina usalama wa kutosha, nimebaki na bumbuwazi. Hapa nimepanga nikitoka job nikanunue za kutosha pamoja na ubani, manake hii nyumba nina wiki tu toka nihamie. Maoni yenu wadau.
Pole Sana. Hiyo Nyumba ni Nzito Sana Ina maseke. Pia hapo umeingia vitani Kodi ikiisha hama. Then Acha kuchoma ma udi hayo, ni Chakula cha majini. Then ndio unazid kuyakaribisha tafuta watu WA. Mungu mfunike hiyo Nyumba Kwa Damu ya Yesu na kila kitu kitakuwa Sawa.
 
Dini Yako haitakusaidia, unamhitaji Yesu
Watu mmekuwa brainwashed kiwango cha kutojitambua kabisa. Hivi unaongeleaje yesu pasi nakuuongelea ukristo. Si ni bora hata ungesema Mungu ambae kila mtu ana access ya kumtaja si mwislamu, mkristo wala mpagani.
 
Habari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa manani🙏

Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba na vinywaji, specifically soda, aliniomba Bibi mzaa mama.

Yani nilikuwa naona ndoto za kuwahusu wao na ndugu wengine walio hai katika familia. Ni wiki niliyokuwa najihisi huzuni na upweke sana bila sababu.

Basi Jumatatu nilipotoka job nikaenda kwenye msikiti wa jiran Kuna duka la dawa za kisuna nikanunua udi flan hivi huwa unatumika kuombea watu waliotangulia mbele za haki. Nikarudi nyumbani nikaoga, nikala then nikauchoma nikiwaombea pumziko hasa Bibi na mama, then kwenye saa kumi na moja nikalala,nimejiwekea utaratibu wa kulala mchana nikiwa free.

Ndani ya nusu saa toka nilale nikaota mwanamke mmoja mtu mzima kavaa upande wa kanga kajifunika Hadi kifuani, kasimama dirishani mwa chumba changu lakini kanipiga mgongo, hivyo sikumwona sura,then nikastuka toka usingizini, nikabadil upande nikarud kulala, this time kama nusu saa baadae nikaota nakabwa pumzi na mtu nisiyemwona huku amenikandamiza kichwa chini,nikawa napambana kujinasua huku nikitaja damu ya Yesu niokoe, nilihangaika kwa muda then akaniachia na nikaamka ghafla. Sikulala tena, nikaamka na kuendelea na ratiba nyingine ya kumalizia siku.

Kulipopambazuka, nikajiandaa, nikachoma udi then nikaingia mzigon, then saa 11 baada ya muda wa mkoloni, nikaenda sokon nikanunua chumvi ya mawe nikarudi home nikaipigia deki chumbani na sebuleni. Nikachoma na udi ule wa kuwaombea wazee wangu, nikaendelea na ratiba nyingine na hali ikaendelea kuwa shwari hata zile ndoto zikakata.

Kimbembe nimeamka leo nikajiandaa niende job, kabla sijatoka natafuta udi zangu zilizobaki nichome sizioni, nimekagua kote sijaziona, na ninaishi peke yangu, hii nyumba Ina usalama wa kutosha, nimebaki na bumbuwazi. Hapa nimepanga nikitoka job nikanunue za kutosha pamoja na ubani, manake hii nyumba nina wiki tu toka nihamie. Maoni yenu wadau.
Pole
 
Nyumba ina mauza uza hiyo.

Nenda katafute usembe uwe unapaka kabla ya kulala.

Halafu kingine mbona hueleweki mara msikiti mara Yesu.
 
Nimesema unachanganya sbb unatumia udi!
Ww unaemwamimi Yesu hutakiwi kutumia hivyo vitu.
Sawa mpendwa, nyumba Ina madhabahu za kiganga hiyo km kulikuwa na hizo kazi hapo, lkn na we hizo ndoto Zinaonyesha Kuna shida!

Kuna mdau kakuuliza swali zuri hapo unaufahamu ,uelewa kuhusu damu ya Yesu na namna ya kuitumia?

Mi nakuuliza una uelewa kuhusu ndoto kibiblia na namna ya kuziombea?
Udi una ubaya gani?
 
Sijachanganya lolote,damu ya Yesu nilitamka usingizi wakati nakabwa.Hii nyumba nimeambiwa aliyekuwa anaishi alikuwa mganga na alikuwa anaitumia kuagulia watu.Muda sio mrefu katoka kunipigia,sikuwa kwenye mazingira ya kupokea,nikitoka job ntampigia nione alikuwa ananitafutia nini.
Hama nyumba kama umepanga bado ina misukule yake
 
Nini tofaut ya udi na ubani,ubani hata Wakatoliki wanautimia kwenye Misa
 
Nyumba ina mauza uza hiyo.

Nenda katafute usembe uwe unapaka kabla ya kulala.

Halafu kingine mbona hueleweki mara msikiti mara Yesu.
Hahaha

Niko nasubiria pambano la hassan ndonga vs Oscar Richard,naona walitambiana sana
Je ulingoni watatuletea burdani au

Ova
 
Hassan Ndonga sijaangalia sana mapambano yake.

Ila Oscar Richard nimemuangalia tangu bado yupo kijana mdogo kabisa yupo vizuri sana.

Wamekuwa pamoja na James Kibazange ,ndiye sparring partner wake wa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom