Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

Mkuu hakuna mtu aliyetukanwa hapa🙏kuwa na amani,nahisi mimi kutaja kutumia udi kumeamsha hisia baadh za watu,Ila it's all fine relax.
 
Lait ungejua hata uo utaratibu wako wa kufanya maombi ya iman unayo abudu n Mila na tamadun za waliokuletea iyo din usinge shupaza shingo kwenye haya mambo
 
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:
 
Yesu ni Mungu ndani ya mwanadamu, alikuja kuwakomboa watu na kuonesha namna tunavyopasa kupendana hata ikibidi kufa kwa ajili ya wenzetu. Yesu ni Jina Lipitalo Majina yote, hakuna mapepo yanayoweza kusimama Jina hili likitajwa!
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:
 
Kukaa mkono wa kuume hujui maana yake. Kukaa mkono wa kuume ni kukaa katika position ya mamlaka na enzi na Utukufu.

Hata hivi Leo Mbinguni ukibahatika kukiona KITI Cha enzi, Yesu amekaa katika KITI hicho, hajasimama mkono wa kuume. Kuwa mkono wa kuume ni kuwa katika enzi na mamlaka.
 
Unachanganya Madawa Mkuu! Huwezi kuwaombea Wazee wako kwa Udi uloupata kwenye Maduka ya Kisunna, then mambo yakiwa Magumu unaanza kusali kwa Damu ya Yesu!

Hizi ndo Imani walizonazo baadhi ya Watu, Jumamosi kwa Mganga, Jumapili kanisani, utasikia "Kwa vile naenda kwa Mganga kwa ajiri ya mambo yangu yanyooke, siendi kumuumiza mtu, Mungu atanisaidia"
Ni kujidanganya!

Ni ama ukombelewe kwa Jina na Damu ya Yesu...!

Ama ufanye Ushirikina! Usahau kuhusu Yesu.
 
Lait ungejua hata uo utaratibu wako wa kufanya maombi ya iman unayo abudu n Mila na tamadun za waliokuletea iyo din usinge shupaza shingo kwenye haya mambo
Utaratibu wa jinsi ya kumwabudu Mungu unatolewa na Roho mtakatifu, na IBADA ni ya Roho Si mwilini na mazoea.

Imeandikwa: Nao wamwabuduo halisi watamwabudu katika Roho na Kweli.

Haikuandikwa ukitaka kuabudu ushike msaafu au Rozali, hizo ni IBADA za mwilini zisompendeza Mungu.
 
Wewe ki asili ni mtu wa wapi?
 
Yesu anasema aliyeniona mimi (Yesu) amemwona Baba (Mungu).
 
Yesu anasema aliyeniona mimi (Yesu) amemwona Baba (Mungu).
Wayahudi walijua ni mwana wa Yusuph seremala!!!!

Messiah maana yake ni Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, MSHAURI WA AJABU, mfalme wa WAFALME ambaye ufalme wake hauna mwisho.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Hizo ni roho za mizimu au miuungu ya familia yenu inahitaji kufanyiwa ibada,kulikuwa na aina ya hayo matambiko kwenye familia yenu,kiongozi wa familia anafahamu utaratibu.Kimsingi unaowaona SI baba yako ,mama yako au bibi yako hiyo ni miungu ya kizazi chenu ambayo walikuwa na mikataba nayo,vile unavyofanya utajiletea matatizo makubwa zaidi Kwa kuwa huelewi ni codes Gani walitumia Babu zako kuwasiliana na hao mizimu,utatengeneza ishue kubwa zaidi,nenda kanisani utubu na uokoke vinginevyo Kila kitu kitakufa kwenye maisha yako .
 
Alokupangisha anakufanyia mchezo ili uondoke apangishe mwingine,and so on
 
Yesu anasema aliyeniona mimi (Yesu) amemwona Baba (Mungu).
Yesu anazungumza juu ya Mungu kama kiumbe tofauti kwake mwenyewe: Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]
Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu: Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

Iwapo Yesu angekuwa Mungu angewaambia watu wamwabudu, lakini alifanya kinyume na akakataa yeyote anayemwabudu: Nao wanani abudu bure [Mathayo 15:9].
 
Unachokosea unafanya IBADA ZA UMIZIMU

ibada za Wafu au UMIZIMU BIBLIA imekataza ,ila Roman Catholic imeruhusu ndio maana hayo madudu yanawatokea

Achana na chumvi, sijui udi, maji ya mwamposa, n.k

Amini kwa JINA LA YESU

Usikimbie NYUMBA ,NI AIBU KWA MTOTO WA KIFALME KUWAKIMBIA WACHAWI/MIZIMU

Aliye upande wetu ana nguvu kuliko wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…