Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani.

Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana.
Congrats 👏 iphone team!

 
Nimerudisha Iphone-11 yangu niliyokuwa nayo wakanipa iphone-14 bure, mradi nisihame kampuni yao kwa miaka miwili, jambo ambalo haliwezekani kwani nimeshakuwa na kamuni hii ya T-Moble kwa miaka mitatu sasa na ninaridhika na huduma zao. Nikienda Tanzania huwa wananiunganisha na Airtel moja kwa moja bila mkwara wowote.

Kwa sasa sijaona tofauti yoyote ya msingi baina ya Iphone-11 na Iphone 14, ila ngoja niendelee kuangalia performance huko mbeleni. Wakati mwingine huwa wanafanya mkwara wa kutangaza kwa nguvu ili wauze tu.
 
Tumia kwanza ndio uje na reviews!
 
Camera vipi? Hivi ukirudisha kuna hela unaongezea?

Mfano Voda au Tigo TZ nn kinawazuia wasifanye hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…