Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ubunifu unamaliza hela sana.Wana copy na wanapiga hela , iPhone macho matatu za android zinauza sana mjini...
Tulia kijana.Kinacho niudhi ni yey kukosa akili ya kutambua kuwa Happ anachezewa ubongo wake tu na wazungu hkn kipya Zaid sans siyo nakasirika kwa kutumia hela vibaya nakasirika kwa kuchezewa ubongo na yey kuingia mzimamzimaaa uwez kuta moo au mam Samia nae anamiliki macho matatu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimechelewa kukujibu sikuingia huku muda kidogo Jombaa.Duu hata hili sikulijua Ila ukishakuwa na pesa ya maana unawatumia watu kukupa namna ya kukuongezea hela...
Naked weapon wale wanawake walikua recruited kuwa monsters!Thanks kwa kunipata Ila na wewe unayo hii knowledge. Ujue Kuna universal language how to talk with people's emotions. Jiulize why mziki hata lugha huijui Ila that music talk with your inner insticts/impulse, with your intuition mpaka unacheza ama unafurahia mziki.
Nb humans we're risk averse or we hate pains and we avoid it by any cost and seek pleasure at any cost even we risk something just seeking it.
So wafanye ama wale watu pleasure wanalipa hela.
Mtu anakunywa pombe ya milioni Ila akiwa ananunua matunda analalamika sema Kuna mentality imejengewa ukinywa ya milioni alcohol utaonekana wa high status tribe.
Na watu wanaweka matangazo yao kuwa bend watu mentality zao.
Yaani huwa wanawekeza matangazo na wanawake wanaonyesha sehemu zao like kikwapa,titi,mguu paja yaani wako nusu uchi just to trigger you into emotions state from rational/logic and reason brain.
So ukishakuwa emotions unakuwa irresistible to their intention target.
Binadamu akishakuwa emotional Ni easy to control him/her. Ila akiwa calm kabisa huwezi kumuendesha. Na ndio Mana hata wanawake wanaijua hii kitu Ni automatic or inborn lazima kwanza aanike sehemu zake za Siri wazi ili aku stimulate or a trigger your sexual desire emotions unakuwa hauna akili yako sahihi unawaza kumfaki Mara umeshamtongoza. Wao Ni wajanja ukishakuwa kwenye Ile peak state of happiness emotions ndipo hapo hapo anapokuambia beibi Nina shida hizi na kumbuka huwezi chomoa lazima unatoa hela baadaye ukisha relax Ile rational mind imerudi ndipo unapoanza kuwaza why umempatia Ile hela na nothing you gained.
Mwanamke akikutaka lazima ajifanye ufurahi kwanza. Remember emotions huwa Ni temporary like hasira,uwoga,furaha,tamaa,hope, overconfidence na zikishatoka tu rational hii hapa ndipo unaanza Ni kwa Nini sikuamua ama sikufanya hivi ama sikimjibu hili.
Hakuna ulichokosea sema Sasa emotions huwa Zina bypass/hijacks or overwhelm normal thanking brain.
Kikubwa Ni kuwa makini how Zina operate.
Hata kwa kanisa Kama Roma wanatoa mmoja mmoja kwenda kutoa sadaka hii ili usibakie kwa bench alone utapata aibu.
Kama Hawa wachungaji wanajua kucheza na emotions zako. Unahubiriwa baraka kibao na jinsi watu walivyotoa kwa bwana na wakapata baraka,they treat or prech you to be emotionally ili utoe ama utoe ahadi.
Umeshawahi toa ahadi baadaye ukaanza kujuta unapokuwa unataka kuitimiza.
Na wao Ni wajanja wanacheza na wewe yaani wanahakikisha hawakuachii nafasi ili uwe calm mpaka uitimize.
Kuna silaha za ngono zinafanya kazi,Kuna mademu wazuri wapelelezi utamkula na atakuchukua Siri,unaweza mpaka ukamuoa mkazaa baadaye anasepa Mana yupo kazini alipewa mission fulani. Nadhani umeshaona movie ya naked weapon.
Watanzania sio waaminifu. SONGESHA tu watu wanadefault🤣🤣🤣Camera vipi? Hivi ukirudisha kuna hela unaongezea?
Mfano Voda au Tigo TZ nn kinawazuia wasifanye hivyo?
Asante mchinaView attachment 2378460
Nimeona review yake YouTube inafanya kazi fresh tu hilo umbo lisikuchanganye haina features za msingi zilizopo kwenye apple watch ultra kama vile crash detection na satellite communicationhuu utumbo hata haukaribiani na uhalisia [emoji2956][emoji2956]
usijejichanganya kama unataka smartwarch yenye uhalisia na kioo cha kutouch zipo za huawei,samsung,xiaomi zinacheza around 400k huko.
Mimi najiuliza iphone 14 pro max ukiulizia maduka pale kaliakoo bei ziko tofauti tofauti unakuta nyingine bei iko juu zaidi mfano maduka outhorized kuuza na apple wanauza juu zaidi lakini maduka yaliyokaliakoo wanauza bei inayoreason
wadau nisaidieni inakuaje maana hakuna iphone fake bali kuna copy yake na ukishika utaijua tu.
Daaaah kumbe mm sio kitu yaani sijanunua na bado wamevunja rekod aisee hongera kwao.Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea...
Sasa ajabu Bab level yule jama wa wasafi Hana elimu yoyote ile Sana kaishia darasa la Saba eti tayari kashaweka order kwenye maduka makubwa...
Wacheki nengatronix mkuu uhakika pale! Wapo sinza.Mimi najiuliza iphone 14 pro max ukiulizia maduka pale kaliakoo bei ziko tofauti tofauti unakuta..