Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Thanks kwa kunipata Ila na wewe unayo hii knowledge. Ujue Kuna universal language how to talk with people's emotions. Jiulize why mziki hata lugha huijui Ila that music talk with your inner insticts/impulse, with your intuition mpaka unacheza ama unafurahia mziki.I have kinda of understood you,just playing with the human psyche and deep-seated emotions mostly the need to feel distinguished![emoji12][emoji12][emoji12]
Nb humans we're risk averse or we hate pains and we avoid it by any cost and seek pleasure at any cost even we risk something just seeking it.
So wafanye ama wale watu pleasure wanalipa hela.
Mtu anakunywa pombe ya milioni Ila akiwa ananunua matunda analalamika sema Kuna mentality imejengewa ukinywa ya milioni alcohol utaonekana wa high status tribe.
Na watu wanaweka matangazo yao kuwa bend watu mentality zao.
Yaani huwa wanawekeza matangazo na wanawake wanaonyesha sehemu zao like kikwapa,titi,mguu paja yaani wako nusu uchi just to trigger you into emotions state from rational/logic and reason brain.
So ukishakuwa emotions unakuwa irresistible to their intention target.
Binadamu akishakuwa emotional Ni easy to control him/her. Ila akiwa calm kabisa huwezi kumuendesha. Na ndio Mana hata wanawake wanaijua hii kitu Ni automatic or inborn lazima kwanza aanike sehemu zake za Siri wazi ili aku stimulate or a trigger your sexual desire emotions unakuwa hauna akili yako sahihi unawaza kumfaki Mara umeshamtongoza. Wao Ni wajanja ukishakuwa kwenye Ile peak state of happiness emotions ndipo hapo hapo anapokuambia beibi Nina shida hizi na kumbuka huwezi chomoa lazima unatoa hela baadaye ukisha relax Ile rational mind imerudi ndipo unapoanza kuwaza why umempatia Ile hela na nothing you gained.
Mwanamke akikutaka lazima ajifanye ufurahi kwanza. Remember emotions huwa Ni temporary like hasira,uwoga,furaha,tamaa,hope, overconfidence na zikishatoka tu rational hii hapa ndipo unaanza Ni kwa Nini sikuamua ama sikufanya hivi ama sikimjibu hili.
Hakuna ulichokosea sema Sasa emotions huwa Zina bypass/hijacks or overwhelm normal thanking brain.
Kikubwa Ni kuwa makini how Zina operate.
Hata kwa kanisa Kama Roma wanatoa mmoja mmoja kwenda kutoa sadaka hii ili usibakie kwa bench alone utapata aibu.
Kama Hawa wachungaji wanajua kucheza na emotions zako. Unahubiriwa baraka kibao na jinsi watu walivyotoa kwa bwana na wakapata baraka,they treat or prech you to be emotionally ili utoe ama utoe ahadi.
Umeshawahi toa ahadi baadaye ukaanza kujuta unapokuwa unataka kuitimiza.
Na wao Ni wajanja wanacheza na wewe yaani wanahakikisha hawakuachii nafasi ili uwe calm mpaka uitimize.
Kuna silaha za ngono zinafanya kazi,Kuna mademu wazuri wapelelezi utamkula na atakuchukua Siri,unaweza mpaka ukamuoa mkazaa baadaye anasepa Mana yupo kazini alipewa mission fulani. Nadhani umeshaona movie ya naked weapon.