Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

Nimekusoma.
Ok mkuu, ila wahenga walisema usione vyaelea, vimeundwa. Hao apple kiufupi ni mojawapo ya kampuni zinazotumia Neuromarketing sana kama cocacola na pepsi. Lengo ni kucheza na saikolojia, ubongo na Dopamine za mtu ili anunue bidhaa kila siku. Chanzo cha hayo ni wale neurologist wenye njaa ya hela ya fastafasta kutoka kwenye kampuni ili kucheza na ubongo wa mtu. Yaani mtu akicheza na ubongo wako, wewe kwisha kazi 😂😂😂😂 unakuwa kama robot tu

Hapo chini ni link ya maelezo ya forbes juu ya mbinu ya iphone

 
Hakuna cha haters wala nini, kuna simu nyingi kali sana kuliko Iphone ila kwa sababu iphone wanafanya Neuromarketing na kucheza na ubongo na Dopamine. Unaona iphone ndio kilakitu. Yaani hata ubongo wako ukiingizwa kwenye MRI na CT scan utakuta ubongo umechangamka balaa na hormone zimejaa kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kisa ni macho matatu ,[emoji23][emoji23][emoji23].


Wadada na wao wapo wanatinduliwa ili wapate hela ya macho matatu [emoji23][emoji23]. Aisee achana na Neuromarketing ni hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Povuuuuuuu!!!! Tafuta pesa ununue aifoni 14. Lol
 
Povuuuuuuu!!!! Tafuta pesa ununue aifoni 14. Lol
😂😂😂😂
Sio povu Bro, huu ni ukweli Bro, hiyo ni neuromarketing Yaani hapo iPhone wanacheza na Ubongo na Dopamine za mtu. Yaani unakuwa addicted na apple. Yaana hata apple wakiuza matikiti ya apple "imatikiti" kwa $10,000 watu watanunua sana. 😂😂😂
 
😂😂😂😂
Sio povu Bro, huu ni ukweli Bro, hiyo ni neuromarketing Yaani hapo iPhone wanacheza na Ubongo na Dopamine za mtu. Yaani unakuwa addicted na apple. Yaana hata apple wakiuza matikiti ya apple "imatikiti" kwa $10,000 watu watanunua sana. 😂😂😂
Tafuta hela acha mifadhaiko moyoni.
 
Mtu anaetakiwa kuisema iPhone ni mwenye Flagship ya 2020 na kuendeleaa wengine wote mna wivu
 
Hiyo kitaalam inaitwa Neuromarketing. Yaani ni aina fulani ya ufanyaji wa biashara au matangazo ambapo mfanyabiashara anacheza na ubongo wako. Halafu mwili unazalisha Dopamine (ni hormone ya kufanya mwili ujisikie raha) nyingi sana mwilini pale unaponunua bidhaa yake.




Hata bongo kuna wafanyabiashara wanawaweka kwenye ofisi zao wadada weupe ambao wana msambwanda au matako makubwa yaani mabaharia wanajaa hapo wananunua kila kitu mzigo inaisha fastafasta 😂😂
Mkuu naomba ubadili jina wewe sio akili ndogo tafadhali. Hii neuromarketing huwa inasoma kwa watu wa marketing ama yaani Ni kozi. Binafsi nimesoma Engineering Ila damu yangu Ni biashara nimekuwa mdogo mno nikiwa Kama shopkeeper so naweza nikaifanya free na ninafurahi mno naposhawishi mteja anunue bidhaa zangu.


Kuna muda nilijua akili za wateja yaani kitu kikigoma kutoka dukani yaani wewe kipandishie Bei nakuambia pandisha Bei watu Wana mentality kuwa ubora Ni gharama kubwa.


Niko primary nagawa mchele wa Aina moja napata sampo mbili namwambia huu kilo Ni 180tzs na huu Ni 200tzs. Sasa mteja akili yake Ina stiuck kwa ule Bei kubwa kuwa hebu punguza huu kidogo ninunue kilo tano na shida ya mfanyabiashara Ni kuuza bidhaa yake itoke.


Wateja Ni sawa na watoto. Ni sawa ukawa na shule ukai promote kuwa Ni VIP schools nakuambia utapiga pesa Mana masikini anajua nayeye akinunua sigara ya Bei ghali mno naye ataonekena tajiri.



Kuna tabia moja Iko ivi tajirii anaishi Kama Hana na masikini anaishi Kama anacho. The more you know something the less you talk it Ila Sasa asiyejua anaongea kinyama. Debe tupu linavuma kinyama Ila Sasa lililojaa kimya halina sauti. Na ndio Mana linaweza likakuchanganya ukalichagua kumbe umeacha lenye kujaa gold.


Yaani Kuna tabia za kimasikini kabisa unakula Serena one time unapiga picha ukipanda ndege unapiga picha. Nenda kwa page ya mo uone Kama Kuna sehemu alipiga picha akiwa anapanda gari Ina Mana hajawahi ama sie tunaobahatisha tiketi za airplane tunasumbua ama ofisi imelipa
 
Dopamine za mtu ili anunue bidhaa kila siku. Chanzo cha hayo ni wale neurologist wenye njaa ya hela ya fastafasta kutoka kwenye kampuni
Kuna mwanasayansi mmoja ameshawahi sema kuwa simu Zina madhara ukiona mwanasayansi anakataa ujue akala mlungula kwa kampuni za simu. Pia iko ivi science research is very fuckin expensive kuzifanya so wanategemea viwanda kuwadhamini Sasa udhaminiwe na wao uje kupiga kelele kuwa sigara Zina madhara na wakati watu wanawaza hela afya yako utajijua mwenyewe. Yaani watu wanawaza hela wako tayari wakuuzie hata Sumu.


Why sigara zinaruhusiwa bangi inapigwa Vita?

Akili ndogo naombaa tubadilishane mawasiliwano nazidi ku prove like attracts like.
 
Yap kweli ila kuna suala moja kubwa jamaa kataja hapo juu
Ukishajua kucheza na hisia saikolojia ya watu baaaas utafanya unachotaka wanakufuata tu nyuma

Ni kweli, lakini Hilo tamko la hiyo kampuni lipo kimkakati na kibiashara zaidi. Hata wao hawakutarajia watapata wateja wengi namna hii, Sasa anauhakika Gani wapinzani wao wa makampuni mengine hawatavunja hii rekodi Yao ya mauzo?

Au ndio inaitwa Mandonga effect?

Binafsi, nashukuru sijawahi ingia kwenye hii majanga ya kupelekeshwa na matoleo ya vifaa vya kidijitali.
 
Hakuna cha haters wala nini, kuna simu nyingi kali sana kuliko Iphone ila kwa sababu iphone wanafanya Neuromarketing na kucheza na ubongo na Dopamine. Unaona iphone ndio kilakitu. Yaani hata ubongo wako ukiingizwa kwenye MRI na CT scan utakuta ubongo umechangamka balaa na hormone zimejaa kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kisa ni macho matatu ,[emoji23][emoji23][emoji23].


Wadada na wao wapo wanatinduliwa ili wapate hela ya macho matatu [emoji23][emoji23]. Aisee achana na Neuromarketing ni hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza makasiriko.

Hakuna simu inayotoa kile iphone wanatoa.

Hakuna simu yenye iOS kama operating system.
 
Sasa ajabu Bab level yule jama wa wasafi Hana elimu yoyote ile Sana kaishia darasa la Saba eti tayari kashaweka order kwenye maduka makubwa kwa wahindi ili kusud ikifika tu awe mtz wakwanza kumiliki simu hyo

Ni mpuuzi mno huyu jmaaa milion nne kalipa tayari sas sijui akili zake ziko wapi hki ya mungu nimemuona baba level anakwenda kulipia nilitamani nimzabe makofi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukiwa masikini utamchukia tajiri anaekula mikate na chai.

Baba level akinunua iphone ya milion 4 wewe kinakupunguzia nini?
 
Kampuni za Neuromarketing ni chache sana. Na zinaajiri sio watu wa marketing, ila wanajiri wataalam wa ubongo, sikolojia,na neurologist wengi kuliko watu wa marketing. Sasa inasemekana hao apple waliingia mkataba maalum ambao ni wa bei ghali sana ambao ni exclusive ili hizo kampuni za Neuromarketing zifanye kazi na apple pekee na sio kampuni zingine za simu. Na ni mambo yao ya siri.


Kuna documentary niliiona YouTube zamani ikizungumzia hiyo ishu. Ila kwa bahati mbaya hiyo video ilifutwa youtube.
Acheni kujazana upumbavu.

Hakuna ujinga kama huo.
 
Back
Top Bottom