It's very easy to manipulate croward than individual person. Hata matangazo ya kibiashara yaandaliwa na watu ambao wanaijua mno saikolojia ya binadamu. Umeshawahi ona unanunua kitu bila ya kutegemea/kuwaza. We buy things just to us feels happy or to impress others. To make external validation of sense of mattering. Unajua Ni kwa Nini kasino kubwa wanakupa bia za bure ili u gamble, ama Kuna mabinti warembo yaani nasema warembo mno unaweza ukamuacha mama yako kisa ya huyo mrembo.
Unajua why banks Zina wadada warembo umeshawahi ona benki Ina mdada mbaya ambaye haujisikii kumuomba namna ya simu kweli?
Why bars Zina miziki umeshawahi jiuliza kweli??
Why matangazo ama utangazaji fulani ya new company product Wana employ wadada na wakaka beautiful and modal men.
Narudia kusema why matangazo mengi lazima yaendane na kitu Kama sex relationship. Yaani unamuona mtu yupo na demu mkali na jamaa naye ama figure sio la kitoto chuma kimemkubali. Niambie Ni tangazo gani halijatumia mtu mwenye mvuto ama maarufu.
So wanapokuonyesha mond anakunywa Pepsi anakamatia mkubwa so na wewe umkamatie na huku soda hata uishi duniani mpaka uzeeke hutopata upungufu wa soda mwilini.
Why kwenye ndege Kuna wadada wakali mno.
Yaani Kuna watu wenye brain kubwa Wana manipulate masses kwa kuchota akili zao na kuwafanya slaves wao wa kujaza akaunti zao za bank zijae na kuchukua utajiri mkubwa tokea kwa most majority poor public masses. Na ukicheki matajiri Ni wachache mno. Umeaniminishwa status or symbol ya high value yako Ni kumiliki Lamborghini,Rolex watch ,Apple phone/PC kupanga apartment Kali karibia na beach.
Sasa wenzako wanawekeza kwa kampani wanazidi kununua shares ambazo mpaka kizazi Chao Cha tano wataweza kuishi kwa kupata gawio la faida za hisa zao.
Jiulize why matajiri wako low key figure hata anayeitengeneza iPhone hujawahi muona anapiga picha nayo anajidai nayo kuonyesha kuwa yeye Ni high status class person. N Wana majina ya kukuteka ama kukufanya uwe mtumwa like hii Ni VIP place, product.
Saivi tajiri imeingiza billionaire amekuwa namba mbili akapitwa na Elon musk pekee ,Jeff Benzos yupo nyuma.
Wekeza kwa weakness ya binadamu utavuna hela.ujue by nature huwa hapendi kuwa chini , kuonekana dhaifu, kuonekana kuwa ameshindwa kitu fulani,hapendi kukosa, kufeli ,nadiriki kusema kuwa tajiri wa kumilikj dola billioni isn't so easy as we thought we have to cultivate weakness of human beings and go against our humanness that's why very few succeeded or reach the top pyramid.
Wengi tunabakia kuwa watumwa wao.
Yaani Ni rahisi mno kumteka mwanadamu yaani matangazo unayoyaona kwenye media all the time Yana Mana yake.
Kuna kitu kinaitwa myth busting.
Ama sema uongo Mara nyingi mno yaani hata miaka kumi baadaye utakuwa ukweli na jamii itaamini kuwa Ni ukweli.
Umeshawahi jiuliza why unafuatilia mziki,mpira ,movie ama koneksheni kuliko hata afya yako ya akili na kimwli????
Mtasema kuwa Sina uwezo wa iPhone Ila ukweli sio kuwa Ni vitu huwa vinatupa furaha.
Binadamu anapenda starehe na kuonekana ana value kubwa mno kwa jamii yake.
Why dogo wa fb ama Amazon hujawahi muona anauza sura kwa Lamborghini ama amevaa nguo za Gucci.
Tofauti Ni kubwa mno Kati ya tajiri na masikini.
Tofauti ipo how to think or perceive world/surroundings.
They buy assets we buy liabilities to impress our peers and show offs,to look for external validation since we feel inadequacy so we've to feel adequacy having high value.
Soma binadamu Mana ndio watakaokupa hela uwape wanachopenda.
Mfano Nani akakuambia kuwa kufanya kazi kwa bidii ama kufanya kazi mno kuwa ndio mafanikio Sasa hiii kila kona inaimbwa ,mbona wanaokesha viwanda vya mo, baresa,coca cola hawajazidi wamiliki kwa utajiri Sasa na wao wanapumzika muda tu wa kula jamani.
Saivi Naona Kuna uraibu wa simu ama social networks. They are truly stealing our true human potential.
Please use phone and social networks and don't let them use you.
Thank you welcome for negative opinions.
Am always ready to reverse my thinking am unbiased,if I go up I can reverse my direction to go down. Am ready that anything can happen. I know that every moment is unique so nothing is static even stones are in motion even though we see them to be in the same place/location but they are moving.
Since atoms/particles forming the solid matter in randoml continuously moving haphazardly.