Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

Video zimeshaanza kuwekwa YouTube kuhusu hiyo dynamic island..pale kuna notch mbili pill shaped na hole punch zilizotengana sehemu nyingine ni screen tu inakuwa nyeusi.. utagundua ukigeuza screen juani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pale kuna cutout mbili ila software inaziba gap between the two kuonesha bean cut out , hili lilikuwa wazi ungeangalia keynote wala hawakuficha . Tegemea hii notch kukopiwa sana ..
 
Kumchukia MTU aliyenunua iPhone 14 au simu yoyote ile ya bei mbaya haikufanyi ww kuipata na wala kuanza kumpangia kuwa asingenunua bado haikupi nafasi ya ww kuipata kikubwa umiza kichwa upate hela ya kumiliki vitu vizuri ili uache kuwa na roho mbaya ya kumchukia MTU
 
una akili sana bro
 
Tafuta pesaaa, lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha wivu khaaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiruuuuuuh
 
If you invest in human emotions utapiga hela. Yaani Kuna watu wanamjua binadamu deep down so Wana exploit her weakness.

Try to feed her dopamine or endorphins utavuna hela.
Kuna ssb kwa nini kampuni kama Amazon ya Jeff Bezos ina wachumi wenye elimu ngazi ya uzamivu (PhD) zaidi ya 250 Idadi kubwa kuliko idara nzima za vyuo vikubwa duniani kama Harvard na MIT kwa pamoja.
 
Kuna ssb kwa nini kampuni kama Amazon ya Jeff Bezos ina wachumi wenye elimu ngazi ya uzamivu (PhD) zaidi ya 250 Idadi kubwa kuliko idara nzima za vyuo vikubwa duniani kama Harvard na MIT kwa pamoja.
Duu hata hili sikulijua Ila ukishakuwa na pesa ya maana unawatumia watu kukupa namna ya kukuongezea hela. Unamuuliza nikulipe umefanya Nini ama umeizalishia Nini kampuni. Zalisha Mia chukua shilingi Mia.
Mkuu hii takwimu naweza nikapata wapi Mana umeniogopesha ujue na ho wote wanaunganisha mawazo yao pamoja.
 
Pale kuna cutout mbili ila software inaziba gap between the two kuonesha bean cut out , hili lilikuwa wazi ungeangalia keynote wala hawakuficha . Tegemea hii notch kukopiwa sana ..

sasa wanaokopy si infinix na tecno ambao wanakuletea inovation za watu kwa bei chee!!!!

ndio maana mshindani sahihi wa apple ni samsung maana huwezi kuta wameigana maana ni skendo mbaya.
 
Iphone inazidi kupaa kimauzo sana na sababu siyo nyuro marketing bali ishakuwa a basic human need.
 
sasa wanaokopy si infinix na tecno ambao wanakuletea inovation za watu kwa bei chee!!!!

ndio maana mshindani sahihi wa apple ni samsung maana huwezi kuta wameigana maana ni skendo mbaya.

Wana copy na wanapiga hela , iPhone macho matatu za android zinauza sana mjini …Sasa hivi kuna wachina wapo wanasumbua vichwa ni namna gani ya kutoka na copy, if u can’t beat them join them ..[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…