Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Hao waandishi wa hicho Kitabu wamelaani Uzao wao!
 
Mawazo yako tu
 
Rais Magufuli hachafuki.

wabaya wake wanapaswa waendelee na shughuli zao za kupambana na hali zao.

kama kuwakomesha aliwakomesha na wakawa wadogo zaidi ya piriton

ushauri wangu wasiendelee kupambana na mtu ambaye hayupo bali wapambane na hali zao.
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Huwezi kumchafua mtu aliejenga nchi yake kwa moyo wa dhati...angalia project alizoacha...
Sasa waulize hao wanaojiita waandishi wa habari na masponsor wao wameifanyia nini nchi?...
Ndio maana hao wanaojiita wahariri..Meena na wenzie ni takataka tu chini ya jua hili...
 
Hakuna msafi anaye chafuliwa matendo yake humtetea hata kama amekufa. Ukiona mtu anaandikwa mabaya yake sana baada ya kufa ujue alizuia na kutisha watu kumweleza ubaya wake akiwa hai. Historia haiwezi kukaa kimya isikuandike hata kama kuna watu wajinga uliwahadaa wakakuona ulikuwa mwema kwa ujinga wao.
 
Mkuu we kuanzia leo jua kuwa si waandishi habari pekee kuna vigogo maridadi vimecgutama nyuma yao .uki vi unveil unaweza shikwa na kizunguzungu, vimejaribu kupush agenda ya kufuta legacy bila mafanikio. Sasa ufisadi umemwagika
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Hata hao waandishi uchwara kwa sasa wanaishi kwa hofu kama digidigi.

Tunaambiwa kwa sasa mmoja kapigwa laana na yupo Hospitali unashushwa sukari na presha
 
Hakuna msafi anaye chafuliwa matendo yake humtetea hata kama amekufa. Ukiona mtu anaandikwa mabaya yake sana baada ya kufa ujue alizuia na kutisha watu kumweleza ubaya wake akiwa hai. Historia haiwezi kukaa kimya isikuandike hata kama kuna watu wajinga uliwahadaa wakakuona ulikuwa mwema kwa ujinga wao.
Kwanini hofu na makasiriko yawe kwa majizi na chawa wao tu?

Sisi wananchi wa kawaida hatuna ugomvi na kazi za Magufuli.
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Nina mpango wa kuandaa Cha kueleza uzuri wa yule Mwamba licha ya Udhaifu wake lakini alikuwa na Mazuri yake.Kila mmoja ana Udhaifu wake na ndio ubinadamu kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete Kila mmoja alikuwa na uzuri wake na mapungufu yake na ndio ubinadamu .Lakini kitendo Cha kuacha kutengeneza Mazuri yako na kukomaa na Mwendazake ni upuuzi mtupu.Kama unaona Kuna sehemu Mwendazake alikwama basi wewe uliyeshika kijiti jitahidi usikwame.
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Punguza utoto MTanzania Gani huwa anasoma vitabu? Hiko kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza meaning wanalenga aina Fulani ya soko sio nyie wacheza singeli wa Tandika. Ni kama tu kitabu Cha Mkapa au Mwinyi unadhani hoehae kama wewe unaweza nunua nakala kwa elfu 80?

Msijipe umuhimu ambao hamna, hivyo vitabu kwa taarifa Yako wamenunua hao viongozi wa serikali na decision makers wa private sector maana ndio target market sio nyie wamachinga. After all hata kingekua kinamsifia JPM wewe una hiyo elfu 80?
 
Angetafuta nakala Kwa mtu akasome
 
Hata hao waandishi uchwara kwa sasa wanaishi kwa hofu kama digidigi.

Tunaambiwa kwa sasa mmoja kapigwa laana na yupo Hospitali unashushwa sukari na presha
Wajinga sana wale

Unadhani baada ya Kitabu cha Magufuli lazima watataka kuandika Kitabu cha awamu ya 4, ukila Nyama ya mtu Huwezi kuacha
 
Back
Top Bottom