Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Fanya wewe kazi hiyo.

Mna versions kila namna , biashara tu, hakuna dini wala kitabu cha Mungu hapo.
Me nasoma ndio maana nakushangaa unatapatapa kama MFA maji, afu mpishi kweli kweli, we NI mwanamke au mwanaume??
Kama ni mwanaume basi utakuwa NI msukuma
 
Yani huyu dada anatoa huruma
Sijui NI mwanaume bwana, hamna mwanamke mbishi namba hii bwana
 
Kama uko serious unataka kuolewa basi kwangu umepata mume..mimi naangalia moyo tu hayo mambo ya mavazi sio ishu tena napenda kweli kuona namna gani muumbaji alituliza kichwa hizo suruari na vimini ndio kabisaa nafagilia ebu usijibanie say no more baby mama njoo dm tuyajenge ila yaliyomo yamo???
 
Naolewa mara ngap boss, nalea wajukuu sasa
 
Njoo huk
Nikajua ni wewe😂basi huyo shuger nisogezee mwisho maua yatanyauka mwambie mkombzi amepatikana
Njoo huku bwana kumenoga
 
28“Niambieni mnafikiri nini kuhusu hili: Alikuwepo mtu mwenye wana wawili. Alimwendea mwanaye wa kwanza na kumwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’

29 Mwanaye akasema, ‘Siendi.’ Lakini baadaye akabadili uamuzi wake na akaenda.

30 Kisha baba akamwendea mwanaye mwingine na kumwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’ Akajibu, ‘Sawa baba, nitakwenda kufanya kazi.’ Lakini hakwenda.

31 Ni yupi kati ya wana hawa wawili alimtii baba yake?”

Viongozi wa Kiyahudi wakajibu, “Ni mwana wa kwanza.”

Yesu akawaambia, “Ukweli ni huu, ninyi ni wabaya kuliko watoza ushuru na makahaba. Ukweli ni kuwa hao wataingia katika ufalme wa Mungu kabla yenu. 32 Yohana alikuja akiwaonesha njia sahihi ya kuishi, na hamkumwamini. Lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini Yohana. Mliona yaliyotokea, lakini hamkubadilika na mlikataa kumwamini.

Faiza bado unasema uongo. Yesu alichosema ni kuwa makahaba waliotubu wataingia kwenye ufalme wa mbinguni kabla ya viongozi wa kiyahudi ambao wanafanya maovu lakini hawatubu.

Amandla...
 
Wanawake wengine stress zinawafanya wavae mavazi ya kwenda uchi!

Wanazani kuvaa kikahaba itawafanya waonekane kuwa hawapitii changamoto au matatizo yoyote!
 
Mavazi ndicho kitu cha kwanza kabisa kinachomtambulisha mtu kuwa ni wa namna gani!

Mavazi humtabulisha kwa haraka kuwa na tabia gani.

Hivyo tujifunze na kuenenda vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…