Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Mavazi si ishu, ishu ni umbo na sura yako ndiyo huvutia au kutovutia wanaume wa kukuoa
 
Mwanaume anaoa kwa kuangalia uzuri wa nje na kwa kuzingatia uzuri wa ndani.
Jitahidi angalau usipokuwa mzuri kwa muonekano basi uwe na uzuri wa ndani (personality).
 
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Na wametokea ili litimie neno wasingetokea Biblia ingekuwa ni kitabu Cha uongo
 
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Wewe Ni Mangapi unafanya yasiyompendeza Mungu.

Halafu Kuna wakristo na Makristo usijekuchanganya Mambo.

Makristo inaweza kuwa Faizana mtu mwingine yyte.

Kwani kwa muktadha wa mstari huo dunia unaionaje!

Yote yaliyotamkwa kwabiblia yanatimia na yatatimia yote.

Biblia si Novo/hadithi kila mtu aielewe.
 
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Jichunguze ili Hao manabii wa uongo wasikupotoshe.

Tunasikia mihadhara ya kukashifu DINI nyingine. Hao wote Ni manabii wa uongo.

Wanahubiri upotofu, Hawa ndiyo makristo siyo wakristo.
 
Kwann umesoma neno kwa ufupi...? Na kahaba au mnyanganyi akiomba sala ya toba je hapewe msamaha ..?? Acha kudhalilisha dini za wenzako kwa ufinyu wa fikra zako. Anzia mwanzo wa hicho kisa utaelewa.
Nb usije jilipua hapa.
 
Wanawake wengine stress zinawafanya wavae mavazi ya kwenda uchi!

Wanazani kuvaa kikahaba itawafanya waonekane kuwa hawapitii changamoto au matatizo yoyote!
sio kwamba wanaumendio mnapenda wavae hivyo?
 
Mavazi ndicho kitu cha kwanza kabisa kinachomtambulisha mtu kuwa ni wa namna gani!

Mavazi humtabulisha kwa haraka kuwa na tabia gani.

Hivyo tujifunze na kuenenda vyema.
kuna wanaovaa dera na bado ni makahaba wa kutupa kwenye maji ya mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…