Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujisitiri ni maamrisho toka kwa Mola wakoWewe nani alianza kukuvalisha na kukufundisha kuficha tupu zako?
Na wametokea ili litimie neno wasingetokea Biblia ingekuwa ni kitabu Cha uongo24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Wameandika wanadamu kwa msaada wa MunguMungu gani kaandika biblia?
Anaitwa mathayo? Maana mimi nimemnukuu mathayo hapo juu sijamnukuu Mungu.
Yesu Hakuwa na dini bali yeye ndie diniAlikuwa dini gani kama siyo Muislam?
Una uhakika?Wameandika wanadamu kwa msaada wa Mungu
Kabisa hujakoseaHiyo mistari niliandika mimi?
Unamjuwa Tamari wa kwenye biblia?
Naam soma uandishi wa Biblia ulivyokuwaUna uhakika?
Wewe Ni Mangapi unafanya yasiyompendeza Mungu.24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Jichunguze ili Hao manabii wa uongo wasikupotoshe.24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Kwann umesoma neno kwa ufupi...? Na kahaba au mnyanganyi akiomba sala ya toba je hapewe msamaha ..?? Acha kudhalilisha dini za wenzako kwa ufinyu wa fikra zako. Anzia mwanzo wa hicho kisa utaelewa.Msitudanganye hapa, huko kanisani si ndiyo mnafundishwa kuwa kahaba ndiyo wa kwanza kwenda mbinguni?
Mathayo 21:31
..Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Sasa kwa mafunzo hayo ya kwenye biblia nani akukataze ukahaba kanisani? Kwani hatuwaoni mnavyovaa mkienda makanisani?
Msitudhani hapa JF sote tu wajinga kama nyinyi mnaofanya ukahaba eti mtatangulia ufalme wa Mungu!
Au biblia ilimaanisha kwa ukahaba mtakufa mapema? Maana utaendaje kwenye ufalme wa Mungu kabla hujafa? Fikiri.
NakataaBasi kama ni hivyo kuna makahaba wengi sana ambao hawajijui. Shoga ako ana shida nyingine hata sio hiyo ya mavazi. Huyo mchungaji muongo hana analolijua[emoji53]
kwasbaabu wanaume mnapenda tukae uchiKwanini wanawake mnapenda kukaa Uchi
sio kwamba wanaumendio mnapenda wavae hivyo?Wanawake wengine stress zinawafanya wavae mavazi ya kwenda uchi!
Wanazani kuvaa kikahaba itawafanya waonekane kuwa hawapitii changamoto au matatizo yoyote!
aiseeUkivaa kikahaba utatreatiwa kikahaba
kuna wanaovaa dera na bado ni makahaba wa kutupa kwenye maji ya mwamposaMavazi ndicho kitu cha kwanza kabisa kinachomtambulisha mtu kuwa ni wa namna gani!
Mavazi humtabulisha kwa haraka kuwa na tabia gani.
Hivyo tujifunze na kuenenda vyema.