Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Ila Faiza sijui kama una furaha ya maisha kwa kweli!
Hio chuki ulio nayo dhidi ya ukristo sio ndogo, huenda haupati usingizi wala tabasamu ukiufikiria ukristo.

Faiza ukristo upo na utazidi kuweko, hauta kupunguzi wala kukuongezea kitu, utakosa amani na furaha na kutukanwa na kila mmoja labda ndicho atakacho pata. Natanguliza samahani.
 
Ameeeeeeeeeeeeen!
 
Kila unacho fanya kama dhamiri haikuhukumu ni sawa isipo kua kisivunje sheria na taratibu za jamii husika uliyopo.

Kama umevaa nguo fulani nawe umeona imekupendeza bila kujali watakaokutazama watatoa maoni gani unatakiwa usijali.

Hizi nguo zilikuja miaka ya hivi karibuni, kuna baadhi ya jamii mavazi sio kitu kwa na wanaoa na kuolewa.
 
Kwakweli wanateseka mnoπŸ˜€πŸ˜€
 
𝙒𝙀 π™‘π˜Όπ˜Ό π™π™…π™„π™Žπ™„π™π™„π™π™„ π™Šπ™‘π™€π™[emoji110][emoji110] π™π™†π™„π™‘π˜Όπ˜Ό π™‰π™π™Žπ™ π™π˜Ύπ™ƒπ™„ π™π™π™‰π˜Όπ™π˜Όπ™„π˜Ώπ™„ 𝙒𝙀𝙉𝙂𝙄 π™ƒπ™π™Š 𝙉𝙄 π™π™ˆπ˜Όπ™‡π˜Όπ™”π˜Ό π™ˆπ™„ π™‰π˜Όπ™Šπ˜Όπ™…π™€ π˜Ύπ™ƒπ˜Όπ™’π™Šπ™π™€ π™‘π˜Όπ˜Ό π™‰π™†π™π™π˜Όπ™„π˜Ώπ™„ π™ˆπ™ˆ π™‰π™‡π™„π™”π™€π™†π™π™Šπ˜Ό
 
Miongoni mwa vitu ambavyo vilifanyika Kwa Ufundi stadi zaidi kwenye uandishi wa Kitabu Cha Biblia ni Lugha ambayo Sio nyepesi kwenye kuielewa.

Na katika ilo wamepata vizuri Sana ndy hata weapo umeshindwa kuelewa maana ya huu mstari. Toka Mwanzo Kabisa Mungu alitamani Binadamu mwenye Akili ndy haiongoze dunia kupitia Fikra zake.

Kabla sijakujibu nianze Kwa kukupa POLE SANA DADA YANGU Kwa kuwa na Uwezo mdg wa kufikiria. Cha Pili hizi DINI tumeletewa Dunia kama Daraja la Sisi wanadamu Kuifikia PEPO. Sio vyema kuziaki dini ya Mtu Mwingne Kwa sababu mnatofautia kiimani.

Twende Sasa kwenye Tafsiri ya Hayo maneno yanayopatikana kwenye Mathayo 21:31

1. Hapa tutaanza na WATOZA USHURU. Katika Biblia wkt Yesu akiendelea kutembea ili kueneza Injiri alikutana na Mtoza ushuru Moja (ZAKAYO) huyu Mtoza ushuru aliambiwa km unataka kufika peponi bhs Agawe Mali zake Kwa watu na katika Ilo ZAKAYO alikubali na alieanza kugawa fedha zake alizokuwa ameifadhi .

2. Hapa ss tutazungumzia MAKAHABA Wawili tofauti katika vipindi viwili tofauti.
Kahaba Moja alieitwa RAHABU wakati Wana wa Misri wameenda kuipelekeza Israel Kwa Ajiri ya Ujio wa Vita basi huyo Kahaba aliwahifadhi Kwa kuwaficha hao Wana wa Misri ili wasionekane na Wana wa Israel wkt Vita hiyo ni Kwa Ajiri ya kuwaangamiza Wana wa Israel na Yey ni Kuisrael lkn aliweza kuwaficha Wana wa Misri.

Kahaba wa 2 tutamzungumzia VERONICA huyu ni Dada aliekuwa Kahaba Kabisa na makuwani wote walijua ilo wkt Yesu yupo kwenye Nyumba ya ZAKAYO huyo Kahaba ndy alienikarimu Kwa kumsafisha Miguu Yesu kwa Machozi yake na Kumfuta Kwa Nywele zake wkt anafanya kitendo hicho Makuhani wote walinena km Kweli (Yesu) ni mwana wa Mungu Bhasi angeweza kumtambua huyo Dada ni Nani na asingekubali kumsogolea.... Lkn Yesu aliweza kuwaambia ukarimu wa huyo Dada toka ameingia hapo na akamsamehea Dhambi zake huyo VERONICA na hapo ndy alitoa mfano wa (Watu Wawili waliosamehewa madeni Yao Moja Akiwa na Kiasi kidogo na Mwengine akiwa na Kiasi kikubwa) na kuwauliza ni Yupi Kati Yao anaweza asimsahau mdeni wake na wote walijibu Yule aliesamehewa deni kubwa hivyo hivyo akarudi kuconnect na Veronica

MWISHO
Hapa Biblia kupitia Methali 21:31 inajaribu kutukumbusha kuwa PEPO hatutoenda Kwa Status zetu hapa dunia Bali kwa Moyo Safi ukiweza kutenda mema Juu ya watu wengine hivyo walitumia Mifano ya watoza ushuru na makahaba Kwa kuwa wao ndy Wenye BAD Pictures katika Jamii. Siku nyingne Jaribu kufikiria Dada Yangu tunaheshimu dini yenu na kitabu chenu Bhs hivyo hivyo inakupaswa kuheshimu dini zetu na usitumie Mihemko kutafsri maandiko matakatifu bila kujua Tafsiri yake.

Pole Kwa kukuandikia Mtext mrefu.


 
Njoo kwangu nitakupokea hivyo Tena uje inbox kabisaa
 
Wacha kuweka maneno yako kwenye biblia.


Kwani kahaba ni rehabu tu aliyetajwa? Hata kizazi cha yesu kina kahaba, usisahau hilo, Unamjuwa kuwa mtu ambae mnasema hana baba mmempachika kutokea ukoo wa kahaba?

Umezunguka na maneno lakini mwisho wa siku aya hukuipinga wala hukuitolea ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…