Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

Tony kapola ndiye nani?
 
Mavazi ni index ya tabia ya ndani.
Ukivaa kihuni maana yake kuna correlation kati ya uhuni na mavazi yako.

Hii ni universal principle sio kitu cha kujadili. Kuvaa ni tendo. Na Yesu anasema utawatambua kwa matendo yao.
Kumbe matunduizi Unashule asee sitokupuuza tena, niliwah kumshutumu demu wangu kwa Tabia za umalaya kupitia mavazi yake tu mpaka tukaachana nami nikiwa radhi kabisa. Huwez vaa gwanda wakat wewe si Mabaka lazima utueleze vzuri.
 
Naunga mkono hoja
 
Hata mkewe pia kwenye mavazii hayuko sawa
 
Kumbe matunduizi Unashule asee sitokupuuza tena, niliwah kumshutumu demu wangu kwa Tabia za umalaya kupitia mavazi yake tu mpaka tukaachana nami nikiwa radhi kabisa. Huwez vaa gwanda wakat wewe si Mabaka lazima utueleze vzuri.
Hii ni kanuni mkuu. Mindest iliyokusukuma kuvaa hivyo ndivyo ulivyo.

Mke wa Yuda alipotaka kunasa mwanaume alivyaa mavazi ambayo yalitafsiri nia yake na akamnasa kwa mavazi yale bahati mbaya akawa amelala na Baba mkwe wake.

Mambo ya imani huitaji ushabiki wala kutumia nguvu nyingi kuyachambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…