uko sahih kwa iman yako. ila kwangu mimi na nyumba yangu Mungu amezaa na ana watoto weng tu na hata wewe ukimkiri unazaliwa naeHakika, Mungu ni muweza wa mambo yote.
Ametuumba sisi na akatuwekea utaratibu wa kuzaa na kuzaliwa ili kuendeleza uwepo wetu.
Uwepo wake Yeye ni tofauti na uwepo wa sisi viumbe wake, na sio suala la kushinda hapa. Yeye hakuzaa wala kuzaliwa.
Hakika mkuu, hasa ukizingatia kila mmoja ana tafsiri yake binafsi kwa imani yake juu ya neno kuzaa.uko sahih kwa iman yako. ila kwangu mimi na nyumba yangu Mungu amezaa na ana watoto weng tu na hata wewe ukimkiri unazaliwa nae
Ungejua tafsiri ya salyuti wala usingehoji au kuona ajabu, bahati mbaya siku hizi watu wengi hawaijui tafsiri ya salyuti kama ilivyojulikana miaka ya sitini, tafsiri ile iliwafanya watu wengi kuukataa uasikari.Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi...
Ehee kifuatachomie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
Kuna kazi zinaondowa utu wa watu aisee.Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Wewe unaejua fafanua hapa jukwaani acha mafumboUngejua tafsiri ya salyuti wala usingehoji au kuona ajabu, bahati mbaya siku hizi watu wengi hawaijui tafsiri ya salyuti kama ilivyojulikana miaka ya sitini, tafsiri ile iliwafanya watu wengi kuukataa uasikari.
ImezingatiwaItifaki
Maisha haya DahMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Kulikuwa na kijirushwa kwa ajili ya askari walioshiriki kuiba kura UkongaNi kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?
Aisee...DAB MKWE WAKE NDIYE MMILIKI WA shule za tuishime