Baba ndiye kapenda soote tuzaraulike sio nyie peke yenu askari, poleni askari poleniMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi...