Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Ni observation yangu
Yeah pia ni kumfanya mtu afikiri. nina maana kwamba mtu anaweza kukudharau kwa kutofikiria haraka ukakuta ukimshangilia.
Mwalimu alikuwa anakula mfupa siku moja huko majuu, mzungu akamuuliza "hivi kule kwenu mbwa wanakula nini?" kwa kufikiri haraka mwalimu akajibu kifupi tu "Wanakula mnofu" mzungu akaona aibu kwa jibu lile kwani alitaka amdhalilishe.
Hata bosi wako akikuonyesha kejili na ukagundua unaweza pia ku mute kiaina!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.

RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Na hicho kijukwaa alichokanyaga kina kama marangi ya CDM
 
Wenyewe polisi wanamshangilia.

Nchi hii polisi ni miongoni mwa kundi linaloishi maisha magumu sana.

Ila for some reason wameamua kuwa wanasiasa. Yetu macho.
 
Acha tu wadhalilishwe maana wamekubali kutumika na kusigina professionalism.
 
hebu tujadili alichowaitia sio mavaz hayo mavaz y'a
suti ndo yametufikisha hapa
Hivi kwann utumishi na ofc zote za serikal ukienda ku ofisi jeans na kofia (cap) hairuhusiwi?

Tena wengine wameweka mabango makubwa getini kuhusu mavazi yanayoruhusiwa na yale yasiyo ruhusiwa?
 
Nafkir ndan ya mkoa Wangu hamuwez kunipangia za kuvaa
Huu mkoa n wangu mm ndo nitawapangia mvaee namna gan na sio Nyie...
 
swala la kujadili hapa sio alivyo vaa makonda bali ni vitambi vya hawa askari wetu. Hivi jeshi letu haliwapigishi zoezi hawa jamaa, askari ana kitambi utasema meneja wa bank.
 
RC huyo wa dsm!!..hahaha

Ana represent wanaume tata kama yeye wa Dar. Angalia hapo juu, anavaa suruali inayo mbana ili wananchi wake wamsifie kuwa ana makalio makubwa na ya mvuto, mtoto wa kiume huyo!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.

RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
What's so important sio uvaaji, suala hapa ni jinsi tukio lenyewe lilivyotokea.
Haikuwa rasmi kwamba anakwenda pale kupewa heshima bali ilojitokeza ghafla na makonda ni RC na kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.

Alikuwa amefika kuwapa pongezi za kusimamia amania katika kipindi chote cha harakati zile za uchaguzi.
Na huenda pia naye alikuwa amekesha kuhakikisha amani inadumishwa.
 
Mtu yoyote anaestahili kupewa saluti,hupigiwa saluti haijalishi yupo katika hali gani au mavazi gani
 
Alivaa hivyo ili kuficha bastola yake, hapo alipo alikuwa hajiamini
 
Back
Top Bottom