kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
Soda mojamoja.ni kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?
Soda mojamoja.ni kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?
napata aibu kwa nchi yangu na yanayoendelea, mimi mtumishi wa umma wa mkoa wa DAR naiga nini kwa BASHITE?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Nna Mashaka Sana na uwezo wa ma Polisi UpstairsMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Unam-miss kwa lipi wakati ndiye aliyetuletea huu uvundo wa awamu hii.We miss Jakaya where are you you🎶 🥁🔊?
hata kofia aiyovaa ni ya kihuni,t shirt ya kihuni,koti la kihuni ,mkanda wa kihuni naye mwenyewe amekaa kihunihuni,hata maaskari nao hasa huyo wa kike badala aangalie mbele naye anamtazama bashite kihunihuni tu yaan uhuni uhuni tu ila hata ,semeje huyu ni mteule wa jiwe katika jangwa la saharaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Yaani mpaka huyo Mama hapo amebaki kushangaa tu.RC huyo wa dsm!!..hahaha
Polisi wa Tz sio watu wa kustuka mapema Mkuu..Polisi watapata tabu sana nchi hii kama hawatashtuka mapema.
hushangai watu ambao kufuga bata ndio utajiri wao.Polisi wa Tz sio watu wa kustuka mapema Mkuu..
Mpaka wakutwe na zahma.
MangeKimambi umemuona dogo wakoMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Hivyo ndivyo wanavyo stahili kufanyiwa kwa sababu wao wenyewe hawajitambui ,Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
kwa hiyo ina maana polisi wameipokea hiyo dharau kwa kupiga saluti!Dharau kwa Polisi
gusa unase.........ma-mbegesa.Mtoto wa baba haguswi
Kweli pametuna vizuri. ahsante umenihamasisha kupachungulia.mie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎