Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi ya Mkoa wana mpa heshima yake ila nadhani semina elekezi kwa wateule ni muhimu sana
Mimi nikiwa mmoja wapo wa hao wengi.Asante mkuumie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
Kapeti limechoka mbaya ahh ahhh ahhMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Hapa anarudi Hapi.....was hapa akienda Jiji la idodomia!naona anataka ampiku tena Mtaka..
kkkkk !
Polisi mko juu!! Hiyo carpet kwenye hiyo platform!! Haaaaaaaah, mmetisha!!Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Komenti yako inaweza kuwa inaongoza kwa likes nyingi kuliko post ya Uzi.hivi ukifeli kuanzia msingi, sec nakuendelea unategemea nini?
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
walipewa sodani kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?
Huyo ni Kundi la wanaume wa Mkoa waliokengeuka baada ya kuingia mjini Dar es salaamAnawakilisha kundi lao la wanaume wa dar.
RC huyo wa dsm!!..hahaha
Wote, makonda na hao njagu ni hamnazo! Kwani hujaona midume wazima tena askari wakifanya mambo ya ajabu ajabu kwa kunyweshana soMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Mkuu pia waambie Utendaji kazi haupo kwenye mavazi na akili haipo kwenye mavaziChadema ndio maana mnapata kura elfu 12 kwa majimbo 2..yani vitu kama hivi eti ndio boja zenu
Ni observation yangukwa hiyo ina maana polisi wameipokea hiyo dharau kwa kupiga saluti!