Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
.....
..........
...........
..........
...........
CDM hawajui etiqueteChadema ndio maana mnapata kura elfu 12 kwa majimbo 2..yani vitu kama hivi eti ndio boja zenu
unafaulu maisha kiujanja ujanja.........nouma sanahivi ukifeli kuanzia msingi, sec nakuendelea unategemea nini?
na atafulia kiutani utaniUnafeli kote huko halafu
unafaulu maisha kiujanja ujanja.........nouma sana
Jinsi huvimba kawaida,mie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
Kumbukumbu yangu ya JKT inaniambia kuwa kama mtu anastahili salute hata kama angekuwa amevaa bukta utampigia tu. Ila yule anayepiga kama hajavaa kirasmi wana namna yao ya kutoa heshima. Kwa hiyo katika hili Makonda hana kosa. Najua wenye kuelewa itifaki za kijeshi wamenielewa.Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Hivi watu wakikuta umeinamishwa na kukemea utalalama kuwa hizo lawama no Sera za Chadema kwa vile hiyo 0 ni mali yako na ndio maana wanapata kura elfu 12 kwa kufatilia mambo sio yao?Chadema ndio maana mnapata kura elfu 12 kwa majimbo 2..yani vitu kama hivi eti ndio boja zenu
100%Hicho ni kikundi cha kisiasa kinachotumia mwamvuli wa jeshi
Leo kalizua MoshiMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181