Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Jina la Yesu ndo moto kwakoNdio mie mkuu wao.
Jina la Yesu ndo moto kwakoNdio mie mkuu wao.
Hakika, Mungu ni muweza wa mambo yote.Akishindwa kuzaa au kuzaliwa huyo sio Mungu
Mungu inatakiwa aweze mambo yote
Aiseee! Mada iliyoletwa itabadilika muda si mrefu,ngoja Wafia Dini waje.Akishindwa kuzaa au kuzaliwa huyo sio Mungu
Mungu inatakiwa aweze mambo yote
Mungu alituzaa katika roho na sio kimwiliHakika, Mungu ni muweza wa mambo yote.
Ametuumba sisi na akatuwekea utaratibu wa kuzaa na kuzaliwa ili kuendeleza uwepo wetu.
Uwepo wake Yeye ni tofauti na uwepo wa sisi viumbe wake, na sio suala la kushinda hapa. Yeye hakuzaa wala kuzaliwa.
Hahahhahaa hawakukanyaga sio,yule wa Nkasi ndio wakamla kichwa kabisa cha Ubunge.Bashite mtu mbad alikuwa anawajambisha kina Mpango na Chongolo ila leo wamekuwa bosi zake.
Kuna wabunge aliwapiga marufuku kukanyaga Dar akiwemo Aeshi yule wa Sumbawanga.
Unaanza Kijanaaise ,marehemu sita spika mstaafu alale mahari pema peponi
Tukubaliane kutokukubaliana.Mungu alituzaa katika roho na sio kimwili
Kumbuka sisi ni roho na sio mwili , Mwili ni boksi la kuhifadhia roho na boksi hilo linaweza likaingiwa na roho chafu (majini)
Unapokufa wanasema mwili wako utazikwa na sio wewe
Wewe utaishi milele - mbinguni au motoni
Kama wewe ni muislamu mambo haya huwezi kuyajua
MUNGU ni baba walio na roho safi ( Haimaanishi alilala na mama zetu , bali inamaanisha tumezaliwa upya kiroho na MUNGU , kutoka dhambini ambako Adamu alituingiza )
Na shetani ni baba wa walio wa dhambi ( Haimaanishi alilala na mama yake aliyem dhambi)
Sio Kessy ni yule kijana mwarabu wa Sumbawanga mjini, sijui alimkosea nini Bashite hadi akazuiliwa kukanyaga jiji la maraha.Hahahhahaa hawakukanyaga sio,yule wa Nkasi ndio wakamla kichwa kabisa cha Ubunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aeshi, nasemea pia Kessy walimla kichwa wakati yeye ndio alikuwa mpiga debe wa mitano tena. Sijui aliwakosea nini wakina Kayafa,Chakubanga na Bashiru.Sio Kessy ni yule kijana mwarabu wa Sumbawanga mjini, sijui alimkosea nini Bashite hadi akazuiliwa kukanyaga jiji la maraha.
Kessy na Lugola walikuwa na damu ya kunguni.Aeshi, nasemea pia Kessy walimla kichwa wakati yeye ndio alikuwa mpiga debe wa mitano tena. Sijui aliwakosea nini wakina Kayafa,Chakubanga na Bashiru.
Sent using Jamii Forums mobile app
How to make money in internet? Sorry
jamaa wamejikunyata kwa nidhamu ya uoga kama mbwa koko muoga anavyokunja mkia wake anapokutana na chui.Mavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342
Ndio kwanza unagundua sasa ... ?Mavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342
Naona kama umemwonea wivu marehemu. Na wewe jaribu bahati yakoaise ,marehemu sita spika mstaafu alale mahari pema peponi
Masela wa Chato gangMavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342