Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #21
Kakojoe ukalaleInakuhusu nini
Kakojoe ukalaleInakuhusu nini
Yaani awamu hij tutaona mengi. Na polisi wana kubali kufanya huu upuuzi?? Nchi ya babaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Hoja yako inafikirisha sanahivi ukifeli kuanzia msingi, sec nakuendelea unategemea nini?
Chadema imekujaje tena?Chadema ndio maana mnapata kura elfu 12 kwa majimbo 2..yani vitu kama hivi eti ndio boja zenu
Mpelekee hiyo nyapu akaisasambuemie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
bado mnahaingaika na huyu bwanaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Wandishi wengine baada ya kupigwa vibaya Li-Chadema lao, wameamua kuandika hata ujinga, eti mavazi ya Rc Makonda, nini tija ya kujadili mavazi ya Rc Makonda?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Nafasi ukiipata sharti uitumie ndugu. Ushawahi ona kina Shilole wakicheza jukwaani mashabiki wanavyowanyanyua juu juu angalau wapate nafasi ya kushika maungo yao yaliyotukuka.ni kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?