Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Mkuu nimeelewa comment yako.The notorious fat@$$
Mkuu nimeelewa comment yako.The notorious fat@$$
Mbona jamaa hana hips[emoji23] muacheni bna ,mkuuTinapenda hips dhake
Angali huyo mdada hapo kulia alivyo mindKazi hizi bhana
Unamacho makali sana Rebeca 83 😀😀😀mie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
Kiongozi haipendezi akavaa mavazi ya aina hiyo kikazi, kuna kitu kinaitwa dress code.Wandishi wengine baada ya kupigwa vibaya Li-Chadema lao, wameamua kuandika hata ujinga, eti mavazi ya Rc Makonda, nini tija ya kujadili mavazi ya Rc Makonda?
Amekiukaje itifaki? Au ndio kukariri huku kunakuponza?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Achana na huo upuuzi, acha kukaririshwa, huyo aliyeandika dress code ni mtu kama wewe na Mimi, siyo lazima, ingekuwa ni sheria iliyopitishwa na Bunge langu la Tanzania hapo ingeketa uzitoKiongozi haipendezi akavaa mavazi ya aina hiyo kikazi, kuna kitu kinaitwa dress code.
Kiongozi ni mfano wa kuigwa
rebeca acha hizo madam una uhakika?mie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
Tatzo nin sasa na ww siuvae tuMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Anapigiwa saluti mkuu wa mkoa sio mavazi yakeMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181
Na wao wanaonesha dharau kwa bashiteAskari Wa Kike Mkuu Wake Anatoa Salutation Yeye Anatazama Utafikiri Heshma Kulia
Ngumu kuelewa hii sentensimie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi 🙄🙄🙄😎
EeeeeeMtoto wa baba haguswi
Ndio madhara ya kula na kulala kwa shemejiTatzo nin sasa na ww siuvae tu
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi, wengi wameshutushwa na jinsi anavyoonekana kukiuka itifaki za kijeshi.
View attachment 869181