Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Polisi anaangalia msambwanda yaani hii inchi ilichezewa
 
Hakika, Mungu ni muweza wa mambo yote.
Ametuumba sisi na akatuwekea utaratibu wa kuzaa na kuzaliwa ili kuendeleza uwepo wetu.

Uwepo wake Yeye ni tofauti na uwepo wa sisi viumbe wake, na sio suala la kushinda hapa. Yeye hakuzaa wala kuzaliwa.
uko sahih kwa iman yako. ila kwangu mimi na nyumba yangu Mungu amezaa na ana watoto weng tu na hata wewe ukimkiri unazaliwa nae
 
Asijionebyuko salama, Kuna sikubataulizwa maovu aliyoyafanya
 
uko sahih kwa iman yako. ila kwangu mimi na nyumba yangu Mungu amezaa na ana watoto weng tu na hata wewe ukimkiri unazaliwa nae
Hakika mkuu, hasa ukizingatia kila mmoja ana tafsiri yake binafsi kwa imani yake juu ya neno kuzaa.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi...
Ungejua tafsiri ya salyuti wala usingehoji au kuona ajabu, bahati mbaya siku hizi watu wengi hawaijui tafsiri ya salyuti kama ilivyojulikana miaka ya sitini, tafsiri ile iliwafanya watu wengi kuukataa uasikari.
 
Kuna kazi zinaondowa utu wa watu aisee.
 
Ungejua tafsiri ya salyuti wala usingehoji au kuona ajabu, bahati mbaya siku hizi watu wengi hawaijui tafsiri ya salyuti kama ilivyojulikana miaka ya sitini, tafsiri ile iliwafanya watu wengi kuukataa uasikari.
Wewe unaejua fafanua hapa jukwaani acha mafumbo
 
Maisha haya Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…