Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Yaani awamu hij tutaona mengi. Na polisi wana kubali kufanya huu upuuzi?? Nchi ya baba
 
bado mnahaingaika na huyu bwana
 
Wandishi wengine baada ya kupigwa vibaya Li-Chadema lao, wameamua kuandika hata ujinga, eti mavazi ya Rc Makonda, nini tija ya kujadili mavazi ya Rc Makonda?
 
Hii ni hatari sasa!! Dsm tumekosa Rc since his appointment.. 4rly this guy is too yaaani daah
 
ni kwanini walimshangilia hadi kumbeba.kawapa nini?
Nafasi ukiipata sharti uitumie ndugu. Ushawahi ona kina Shilole wakicheza jukwaani mashabiki wanavyowanyanyua juu juu angalau wapate nafasi ya kushika maungo yao yaliyotukuka.
Nimeongelea kina Shilole hapa najua ni nje ya mada nisije kueleweka tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…