Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

mie nimeipenda,pale kati panaeleweka kama wasukuma wengi πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜Ž
Unamacho makali sana Rebeca 83 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Au umuangaliapo mwanaume ndio sehemu ya mwanzo kuitupia jicho hiyo?😎😎😎

Mimi sijaona tatizo kwenye mavazi yake lakini, nadhani ilikua siku ya mapumziko na yeye katoka casual tu, kuna shida hapo?
 
Wandishi wengine baada ya kupigwa vibaya Li-Chadema lao, wameamua kuandika hata ujinga, eti mavazi ya Rc Makonda, nini tija ya kujadili mavazi ya Rc Makonda?
Kiongozi haipendezi akavaa mavazi ya aina hiyo kikazi, kuna kitu kinaitwa dress code.

Kiongozi ni mfano wa kuigwa
 
Amekiukaje itifaki? Au ndio kukariri huku kunakuponza?
 
Kiongozi haipendezi akavaa mavazi ya aina hiyo kikazi, kuna kitu kinaitwa dress code.

Kiongozi ni mfano wa kuigwa
Achana na huo upuuzi, acha kukaririshwa, huyo aliyeandika dress code ni mtu kama wewe na Mimi, siyo lazima, ingekuwa ni sheria iliyopitishwa na Bunge langu la Tanzania hapo ingeketa uzito
 
Tatzo nin sasa na ww siuvae tu
 
Anapigiwa saluti mkuu wa mkoa sio mavazi yake
Kuna askari kanzu wanavaa pensi na makubazi au hata kandambili lakini wananyukana saluti tu
 

Liangalie hilo la pembeni yaan ni bure kabisa liko kinafiki saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…