Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.
Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.
Si ameolewa yule?
Huo ni ushamba. Alivaa vizuri.. Usituletee ukoloni wa nyumbani kwako hapa kwenye jamii. Kama ni mabinti wenu kuhatibika mnawanunulia sim wenyewe na siku hizi fb. Ni bure. Kwa hio kila kitu wanakiona bure .muache dada yangu
Sioni Ajabu Kama Unaking'amuzi Cha CHA DSTV INGIA CHANEL YA BLACKBELT UWAONE WATANGAZAJI WAKE WANAVYOVAA.
Mleta mada ni mtu wa maadili na hata nyumbani kwake anasimamia maadili, tatizo kuna wahuni wachache wanaotetea maovu mitandaoni,..
Bora huo UKOLONI kuliko huo ujinga wako na wa dada yako
Si ameolewa yule?
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.
Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.
Salma Msangi ana vi/ta/ko kama vya kumbikumbi.