Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Status
Not open for further replies.
Media zetu haziajiri proffesionals ni kuokota okota tu...
 
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.

working
 
Huo ni ushamba. Alivaa vizuri.. Usituletee ukoloni wa nyumbani kwako hapa kwenye jamii. Kama ni mabinti wenu kuhatibika mnawanunulia sim wenyewe na siku hizi fb. Ni bure. Kwa hio kila kitu wanakiona bure .muache dada yangu

loooh unaizalilisha hiyo (saint)
 
Sioni Ajabu Kama Unaking'amuzi Cha CHA DSTV INGIA CHANEL YA BLACKBELT UWAONE WATANGAZAJI WAKE WANAVYOVAA.
 
ni kazi sana kusimamia maadili kwa kizazi cha sasa
 
Nisaidieni, ana utapia mlo au, maan kakondeana mno, hta pa kushika shida.
 
20130121-143518.jpg

Ah hata nimesahau nilitaka kusemeje!
 
Na hawa tuliowashuhudia dunia nzima pamoja familia zetu, wanatakiwa kufungiwa..!!?
 
Attachments

  • 1402993891758.jpg
    1402993891758.jpg
    79.1 KB · Views: 703

duh, vimodo vinanoga lakini haka kamezidi ukakamavu, kakavu kama mrungi wa juzi!! hiyo mironjo ni bora kangetupia suruwali tu, au kama ni party ya jioni kangevaa gauni refu aisee, hakatamanishi kabisaaa! bora hata kangekuwa na mwili mzuri kakanyimwa sura mwanaume unaweza kukafunika hata fuko la rambo ukasimamia show!
 
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.

Kama vipi piga marufuku TV kabisa ki Talaban Talaban tujue moja.

Maana ukiwa na TV hayo utayaona tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom