Mwanamke akiwa na tunyama twa kushikia jeans isidondoke inapendeza sana! kakauka sana jamani hana mvuto kabisaaa!
Mmh...huyu akivaa suruali jeans iliyo bana si anakuwa kama manati vile..!
Ha ha ha ha, wewe na OLESAIDIMU ni wambea sana, mie nimeona miguu imetumbukia kwa mbele nikajichekea tu.
mie ni mwanafunzi wa udaku kwa mwalimu OLESAIDIMU
kiongozi unamaanisha LEE SIMONDS?ndio huyo anaejiita kimora....?
kiongozi unamaanisha LEE SIMONDS?
ha ....
wa bongo?
Sawa kiongozi, asantendio kaka mkubwa.....!
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.
Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.
Fashion changes... watu tuache kuwa conservative. Kama ni uzee kaa na uzee wako mwenyewe, usilazimishe jamii nzima ivae kizee kama wewe
Kuna watu sijui huwa wana matatizo gani vichwani mkuu! Utalazimisha vipi watu wavae unavyotaka?! We are living in civilized world.
Ukizingatia waliokuwa kwenye mamlaka yako(iwe mke, watoto, familia n.k) unajua ucheze nao vipi, lakini si kwa kumuingilia mtu mwingine wa nje uhuru wake.Mi nilijifunza hizi mambo miaka kadhaa iliyopita. Mwishoni mwa miaka ya 80 nikiwa primary, mwanafunzi mmoja nusura afukuzwe shule kwa kuvaa kaptula yenye marinda. Ilionekana ni uhuni. Baadae mwishoni mwa miaka ya 90 nikiwa sekondari mwanafunzi mwingine alikuws branded mhuni kwa kuvaa suruali HAINA marinda. Nakumbuka kipindi fulani ilikuwa ni dhambi mwanafunzi kunyoa "unga". Leo hii mwanangu wa kike kila jumamosi ya pili anatakiwa kunyoa.
Uvaaji wa jeans mwanzoni Ilionekana ni dhambi. Leo hii hadi wachungaji wanapanda majukwaani na jeans.
Hizi mambo ukizijua wala huumizi akili yako...