Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Status
Not open for further replies.
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.
Jamani wahenga si wanasema biashara ni matangazo?????
 
20130121-143518.jpg

nawashangaa sana wanaomsifia humu.......
 
Ako kadada kanavunja nazi kwa ugoko kwa jinsi kalivokomaa.
 
Rais wako ndo anapenda hayo mambo alafu we unapiga kelele huku, hata hivyo mbona alivaa vizuri tu kulinganisha na mabibi zetu huko zamani waliokuwa wanaacha karibia mwili mzima wazi.
Sangarara umekosa adabu kabisa hebu twambie uhusiano wa hii mada na Rais.
Acha huu ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Paja lake limekaukiana utadhani mwiko unatumika kusongea ugali kwenye shule za bweni
 
Na hilo wigi lililokavaa yaani oversize halikapendezi kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom