tupo wengi, lol!
sijawahi letewa zawadi ya nguo ndefu.......
na nikivaa nguo ndefu napata vijembe tangu chumbani...
Ila fupi zangu siyo zile za juu ya magoti.
Dera nilivalishwa kinguvu na rafiki yangu fulani eti aone nakuwaje nikivaa nguo ndefu.
Suruali bomba tu
sa hivi nitafatilia lakin sio kila mtu akivaa suruali anaapendeza otherwise tukifanya comparison
na uvaaji wa Pedo hapo sawa.......maana kuna mtu mwingine hajaujulia mwili wake lakin huyo yumo kwenye
masuruali huwezi kuniambia nae atakuwa miongoni mwa 'suruali inampendeza kila mtu'
Latifa Rashidi a.k.a lara 1
Nguo fupi ina raha yake ila nguo ila ikiwa fupi sana ni majanga.........utakuwa uncomfortable..
me i like wearing skirt zile fupi Maxi skirt hapo huwa naona nimeutendea haki mwili wangu..
But the thing with men anaweza kukwambia sipendi uvae nguo hizi lakin they wont stop staring to those woman
in SHORT SEXY DRESSES!!!!!huwa sielewagi kabisa
ndo maana lulu alisema......
nikivwaa nguo ndefu nawashwa!!!
nakubaliana nawe rafiki.... Mune ana mchango wake kwenye mavazi ya mkewe.RGforever mke waweza kum-mold wewe.
kama unapenda nguo zenye sitara na zinazopendeza basi ujue unatakiwa wewe ndio uanze kumvesha hizo.
siku hizi waume mnaharibu wake zenu wenyewe unakuta siku ya send off sanduku la bi harusi lnaletwa na vijisuti vimini, vigauni vibajaji, na kama suruali zile skin sasa unategemea nini??
kama wataka mke avae kwa sitara lazima kwanza hata siku ya kuoa uhakikishe sanduku lake linajaa nguo za stara nzuri zenye kumpendeza manake si mkeo huyo??
huyo sasa alikuwa na yake.....ndo maana lulu alisema......
nikivwaa nguo ndefu nawashwa!!!
ha haaaaa, yaani mdogo wangu dira ninalo moja tu tena nilinunuliwa na rafiki yangu sare ya Dua huko milimani kwao. kina nikivaa naona kama nimevaa nguo ya mtu siyo yangu. Ila kwa kupungia hewa kibarazani yanafaa sana.....ngoja nkutoe dada mkubwa kwenye ile sare ya madiraaaa looo ila siku hizi wananunua na kuyakata
mmhhh!!! labda huchagui nguo zinazofit figure yako vizuri.
hebu niambie akna dada wanaovaa pedo na wale wanaovaa suruali wepi wengi wao hutokelezea zaid?
yaani umeshanitesa sana best.... hujui tu!ha ha ha; did I say I saw u somewhere? Kwa picha hizi Confirmed! 🙂
nitakutesaje best!
ha haaaaa, yaani mdogo wangu dira ninalo moja tu tena nilinunuliwa na rafiki yangu sare ya Dua huko milimani kwao. kina nikivaa naona kama nimevaa nguo ya mtu siyo yangu. Ila kwa kupungia hewa kibarazani yanafaa sana.....
kwani ndo unataka utuvishe madira kwenye KP yako? mweeeeeeeeeeeeeeeee!
eeeeh! kweli kabisa!
unapigwapo na ka-hewa kidogo!!!
khaaa!!!
dsm joto bwana!
mimi nilikuwa nafanya comparison kati ya suruali ambazo ni ndefu na pedo mnake nilitaka kuongelea cummulatively kwamba nguo ndefu zifit vyema kuliko nguo fupi
mmmhhh!dira kwenye singwa jamani ha ha mjini raha