Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!


Yaani vigauni ndo mpango mzima.
Naweza nikaona kitu/nguo nyingine nzuri tu na nisistuke ila nikiona kigauni loh jicho lote kodo na kama niko empty mfukoni yaani roho itaniuma mpaka basi!! Ntatamani hata kesho yake nikirudie . . . LOL!

Hapo blue . . .
Kwakweli dah, inategemea lakini na mahali anapoishi, maisha yake yatakavokuwa!
 
Ila lara 1 umenifurahisha with ur positive attitude. Sijui kwa nini hupati mwanaume serious akuwowe hehehe. Yaaninunajua kujifariji hadi raha. Usijiachie ukasononeka bwana. Maisha mafupi haya. Let me enjoy minis' for as long as they last. Ugua pole
kama umemponda kiaina vile hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hapat mwanaume serious wa kumuoa maana yake aliye nao na ambao amekuwa nao wanamchezea tu,cjui kwanini hapat mwanaume wa kumuoa hilo analijua mwenyewe
 
ukivaa nguo fupi kwa wanamme unaonekana kama 'starter', ukivaa nguo ndefu unaonekana kama 'main course and dessert'
unanikumbusha ALCOVE wewe Kongosho wewe kubomolewa hile hoteli kumenipunguzia sana raha ya huu muji kwakweli
 
Last edited by a moderator:
He he he, lako hilo

Hadi utanyooka tu, kisa cha kuturusha roho wakati sie ni nineteen kweusii? Unaleta mambo ya android hapa🙂

 
wanaume tunaweza kuhisi tabia ya mwanamke kama ni malaya au la kutokana na mavazi yake kwanza nikiwa bara akija dada na nguo ya heshima naweza pata hisia za kumuoa kutokana na staha ya nguo zake
ila nikiwa bara akija dada kavaa kimini au nguo isio na staha nitahisi changudoa kaja hata kama ni mzuri naweza kumuoa but ni kicheche tu nitakua nishais hivyo kwa sababu nimempenda kwa kumtamani niko radhi hata kumnunua nikamlaleee
 
ukivaa nguo fupi kwa wanamme unaonekana kama 1.'starter', ukivaa nguo ndefu unaonekana kama 2. 'main course and dessert'
1. kugegedana tu (mhuni fulani hivi,hajatulia,hajeheshimu nk)
2. mke (mstaarabu,mfia dini,anajiheshimu) n.k
 
mwanamke kujisitiri kuna raha yake bwana.
i prefer much kuvaa nguo za stara kuliko vimino
hasa nikipata kitenge kikashonwa vyema lolz!
kinakutoa sana mwanamke.
cc snowhite mama ya matenge ya nguvu

teeeh...hivi ukiwa na miguu ya kichaga unaweza kuvaa kimini?
 
...vazi lilandane na umbile la mwanadada..huna course work (usafiri) unalazimishia mwonekano wa mwenye usafiri...una tumbo (sio mjamzito) unavaa ya kulikaba...inatakiwa vazi libalance tumbo na kalio lako
 
mimi nikivaa nguo ndefu kila mtu ananambia umependeza, nikivaa fupi hivyohivyo, suluari nazo hivyhivyo, sasa nishaamua kuchnganya navaa zote, ila kwngu mimi napenda nguo fupi na suluari zaidi ya ndefu. ila fupi kama hizo alizoweka Fixed Point tena napenda hivyo vigauni sana.
 
wanaume hawatabiriki kama tai! wengine dera hata hawajigusi...ila ukichenchi ukapiga jeki busta kifuani na vifuta katikati thekthynyonyo...lol macho kodo na huduma A plus...kuna wengine ukapiga dash dash la maana oh maama!
ilame naona age and mahali matters.
 
Na kufikiria Mke kunaanzaga na mavazi kwanza lara 1

Me my #1 wangu tulikutana tukiwa chuo miaka ya nyuma, na hapo madem wote ilikuwa ni full vimini na pedo kasoro mie tu. Cku tulipokuwa out nikamuuliza imekuwaje akafall kwangu mvaa madera ilhali wapo watoto wa mujini wanaojua vimini? jibu alilonipa...............
 
Last edited by a moderator:
Duh aisee,Nakumbuka mwaka 2012 pale ubungo kuna mmoja alijifanya ye anapenda nguo fupi sana, sasa kilichomkuta nadhani yule binti hatovaa tena nguo fupi sana, maana ilibidi abebwe kwenye Hiace peke yake hata traffic aliyekua anamsaidia asivuliwe na wahuni mambo yalimshinda.
 
kama umemponda kiaina vile hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hapat mwanaume serious wa kumuoa maana yake aliye nao na ambao amekuwa nao wanamchezea tu,cjui kwanini hapat mwanaume wa kumuoa hilo analijua mwenyewe

Hahahaaaaaaaaaa! IM CHOOSY!!!!!!!!!!! Nataka MWANAUME WA NGUVU! LOL! Mimi na kaili zangu ZOMBI naligundua in no time! LOLEST!!!!
 
...kiukweli mamito umenigusa!! unajua kwa binadamu yeyote yule, chukua mfano huu mdogo tu, mtu unakuta kuna vyakula vinauzwa na wauzaji wawili tofauti, mmoja AMEVIFUNIKA vizuri vyakula vyake, na mwingine AMEVIACHA WAZI vyakula vyake huku MAINZI wanachezea na kuondoka...UTANUNUA KIPI kati ya hivyo? kwa hiyo kina dada zetu mnaovaaga mavazi ya nusu uchi jaribuni kubadilika na kuistiri miili yenu kwa kuwa ni ya THAMANI kubwa sana nyie hamjui tu...vilevile nyie ndio sababu baadhi ya wanaume wanakosa nguvu za kiume na kuhatarisha ndoa zao kwa ajili yenu kwa kuwa wanaona sana maungo ya wanawake huko mtaani hadi akifika home anakuwa haoni jipya kwa mkewe..mnajitakia dhambi ndg zangu..TUBADILIKE...ukivaa kwa kujistiri UNAHESHIMIKA SANA na kila mtu na unakuwa huru na mambo yako...need I say more?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…