Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hata ungekua wewe usingekubali mkuuNa ujue huyo sio mwenye biashara, ni muajiriwa tu. Mwenye biashara anajua kuwa anaingiza commission hata kama kiwango ni kidogo. Hawezi kukataa hela. Wafanyakazi ndio wana dharau sana
Sasa mkuu kupendeza sio tatzo, mimi nilitaka kutoa pesa yangu nifanye mambo mengineUmependeza vizuri tuu kaka wa watu alafu unaenda kutoa alufu tatu...
Ulitaka akwambiaje bosi ahahaha
Balance iliishia hapo kwenye 3kUngeongeza dau Mkuu baada ya kugoma, ungetoa 30k
Unapendezaje alafu unatoa alufu tatu..Sasa mkuu kupendeza sio tatzo, mimi nilitaka kutoa pesa yangu nifanye mambo mengine
Afadhali waseme hawataki kuliko kudai kwamba hawana salioNa ujue huyo sio mwenye biashara, ni muajiriwa tu. Mwenye biashara anajua kuwa anaingiza commission hata kama kiwango ni kidogo. Hawezi kukataa hela. Wafanyakazi ndio wana dharau sana
Ahahahha yaaan jumla ulikua na 3k mkuu wangu...Balance iliishia hapo kwenye 3k
Mkuu mimi hata buku mbili natoa, siogopi judgment kutokana na muonekano wangu. Kwanza mimi sipendezi sanaaaaUnapendezaje alafu unatoa alufu tatu..
Huoni kama unakera watu..
Mtu anakua na mawazo tofauti na wewe alafu wewe unamdissapoint
Jumla ilikuwa 4,200/=Ahahahha yaaan jumla ulikua na 3k mkuu wangu...
Ahahahahah sasa kama umependeza nenda kwa mawakala wa ndani ndani huko mkuu..Mkuu mimi hata buku mbili natoa, siogopi judgment kutokana na muonekano wangu. Kwanza mimi sipendezi sanaaaa
Ahahahahha daaah kazi kweli kweli..Jumla ilikuwa 4,200/=
Inawezekana hakua na note ndogo ndogo thus akakubwaga kimtindo.Nimefika kwa wakala kwa lengo la kutoa pesa kutoka mtandao wa simu, anasema hana salio la kutosha. Wakati huo naona watu wengine wanatoa na wanaondoka...
Alaf kalikuwa kadada sasaAhahahahha daaah kazi kweli kweli..
Wamekukatili sana mkuu
Huenda, lakini kwanini akunje sura na kuonyesha jicho la dharauInawezekana hakua na note ndogo ndogo thus akakubwaga kimtindo.
Wengine kuwa mawakala tu wanajiona wanamiliki BankNiki kutana na mtu ana uza kitu afu ana dharau uwa namshangaa sana .