Mawakala wa huduma za fedha kwa mitandao ya simu acheni dharau

Mawakala wa huduma za fedha kwa mitandao ya simu acheni dharau

Wakala wanapenda wanaotoa hela ndogo. Mfano Wakala ana float 600,000/- anapata faida akitoa watu 30 wa 20,000 kuliko watu wawili wa 300,000/- kila mmoja.

Kuna siku nilikuwa maeneo fulani ya sokoni nataka kutoa 300,000/- mawakala karibu watatu walisema hawana hela mmoja wao akanipa na kuniambia kwanini wenzie wamegoma.
 
Wakala wanapenda wanaotoa hela ndogo. Mfano Wakala ana float 600,000/- anapata faida akitoa watu 30 wa 20,000 kuliko watu wawili wa 300,000/- kila mmoja...
Wengine ni wabaguzi wakubwa, mimi bado sijaona kosa langu mpaka anune na kukasirika
 
Na ujue huyo sio mwenye biashara, ni muajiriwa tu. Mwenye biashara anajua kuwa anaingiza commission hata kama kiwango ni kidogo. Hawezi kukataa hela. Wafanyakazi ndio wana dharau sana
Na hao wafanyakazi hasa wa kike ndio wanasababisha Kila cku maboc kufunga biashara maana unakuta kakgombana na boyfriend wake huko hasiraa analetea watejaa
 
Hiyo sio haki kabisa, hatakama commission ni ndogo lakini bado kila mtu ana haki ya kupatiwa huduma.
huduma unapatiwa ila usijidai una haraka, uje kuweka buku ukiwa na chenji ukija kutoa elfu3 mimi niwe na chenji za kutosha au nidhamu ya mteja.

kuna wateja yuko na nidhamu yaani huwezi kataa kumuhidumia hata kama chenji hamna itatafutwa.

Mwingine anakuja kalewa hivi unajua usumbufu wa mlevi, huyo ni hakuna salio muhamala wowote ataotaka kufanya,
kuna wavuta sigara mtu anakuja na sigara mdomoni unafikiri ataambiwa nini?
 
Wengine hata ukienda kwa busara bado wanazingua tu
 
Matapeli wana mbinu nyingi, wengine wanapenda kutoa pesa ndogo ndogo kumsoma wakala.
 
Hiyo ilisha wahi nitokea nimeenda kutoa hela nilipo sema kiasi yule dada alinikata jicho na akawa mzitooo kunihudumia nahangaika kuangalia no zake za wakala namsikia anasema kaka samahani sina chenj chenj katoe mbele pale 🤣🤣🤣hizi shidaaa jamani 🤣🤣🤣🤣
Mkuu Elf tatu si yangu, kama kuna mengine angesema tu ila mimi sijamkosea kwa lolote
 
Back
Top Bottom