Mawakala wa huduma za fedha kwa mitandao ya simu acheni dharau

Mawakala wa huduma za fedha kwa mitandao ya simu acheni dharau

images.jpeg-78.jpg
kichwani anajisemea
 
Nimefika kwa wakala kwa lengo la kutoa pesa kutoka mtandao wa simu, anasema hana salio la kutosha. Wakati huo naona watu wengine wanatoa na wanaondoka...
commission yake ni ndogo mkuu kuna muda unawakataa wateja sababu sio kwamba hutaki hela au hela ni ndogo,
shida ni kwamba hiyo mihamala mfano wanaolipa bili za maji wanaambiwa hakuna salio sababu wanajaa tu unakuwa bize ku fanya kazi bure maana commission yake ni ndogo sana yaani unaweza ukai neglect.

mwingine anakuja anataka kuwekewa elfu2 halafu anatoa elfu10 hakuna anayehangaika kutafuta chenji hata kama zipo chenji kidogo unaambiwa hakuna salio.
 
commission yake ni ndogo mkuu kuna muda unawakataa wateja sababu sio kwamba hutaki hela au hela ni ndogo...
Hiyo sio haki kabisa, hatakama commission ni ndogo lakini bado kila mtu ana haki ya kupatiwa huduma.
 
Back
Top Bottom