Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Tumkumbuke kwa lipi yule hayawani Mkubwa? Muache aendelee kuungua na moto wa jehanamMtamkumbuka Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumkumbuke kwa lipi yule hayawani Mkubwa? Muache aendelee kuungua na moto wa jehanamMtamkumbuka Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Yaani wewe usiyejua hata kiswahili ndiyo ndiyo unaponda hivyo. Hakuna neno "namdhalau" bali "namdharau"sio kwa ubaya ila waga namdhalau mtu yoyote anae jifanya kuijua dini tulizo letewa
Kwa lipi sasa waisambaratishe zanzibar acheni uzwazwa kemeeni wapuuzi wanao haribu dini lakini mkikaa kutafuta sababu za kipuuzi km hizi watoto wenu watajiingiza huko.Hayo tu uliyoyaandika yanajitosheleza kuonesha zinatumika nguvu za ziada kuisambaratisha Zanzibar (devide and rule).
Hahahaaaa haya bna..Islamic knowledge o&a level inafundisha kabisa kwamba Sharia tz haiwezekani sababu Pana Imani tofautiTofautisha kati ya malumbano ya mijadara, na swala muhimu la Nchi
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hapa nazungumza kama kiongozi wa jamii. Mjenga nchi.
Uwe unajua kutofautisha wapi pa kuzungumza nini.
Tukutane jukwaa la Dini na sio kwingine.
Hata wewe hapa umeongea masuala ya maana sana kama kiongozi.
Nadhani viongozi wa Elimu na Mitaala wamesikia na huenda wakayafanyia kazi mawazo yako mazuri.
Tutakufikiria kwenye teuzi zijazo
Safi sana kijana.[emoji106]
Kwamba Kamanda wa polisi mzanzibaa na muislam safi anatumika kuisambaratisha nchi yake?Hayo tu uliyoyaandika yanajitosheleza kuonesha zinatumika nguvu za ziada kuisambaratisha Zanzibar (devide and rule).
Sawa mtumeYaani wewe usiyejua hata kiswahili ndiyo ndiyo unaponda hivyo. Hakuna neno "namdhalau" bali "namdharau"
Unaachaje kuwahusisha na dini wakati ugaidi wanaoufanya uko motivated na dini...Na mahali wanapokuwa recruited ni kwenye majengo ya kidini...Na ideology yao kubwa wanaitoa kwenye vitabu vya dini.Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Hii BAKITA wanatakiwa waiweke kwenye kamusi ijayoDini ni Mawazo ya MTU anayekuwa na wafuasi nyuma yake
Yep, watoto kubakwa ni jambo baya sana popote itakapotokea, iwe kanisani kwa mapadri, Madrassa kwa maostaz au shuleni kwa Walimu.Nikweli,pia wawe makini huko kwenye mafundisho makanisani,maana mapadri wanafffira watoto imebainika, yule juzi kawakaza watoto kumi
Kawachukue uwapeleke MIGA.Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.
Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha Quran zinazohamasisha vijana kujiunga na kuziondoa serikali zote za kikafiri, hivyo kuashiria kuwa hayo ni mafunzo ya kigaidi.
CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.
Pia, soma:
The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani
Yep that is a good thing...Tuendelee kupambana ibaki hivyo...Maana anaweza siku 1 kuibuka mlevi mmoja akataka waanze kufundiSha Jihad Mashuleni.Hahahaaaa haya bna..Islamic knowledge o&a level inafundisha kabisa kwamba Sharia tz haiwezekani sababu Pana Imani tofauti
Km kitabu cha dini kina maandiko yanayohamasisha jihadi na kuuana kwa minajili ya kutetea hiyo imani kwanini hayo matendo yasihusiane na hiyo dini?Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Magufuli alikuwa Benevolent Dictator yaani Dikteta kwa viongozi wenzake na rafiki kwa Wananchi,ambao mimi nadhani ni mfumo mzuri kuliko tulionao sasa ambapo serikali imekuwa corrupt inakandamiza Wananchi kwa maslahi ya watu wachache.Hamna mwenye akili timamu wa kumkumbuka dikteta ,Ni nyie mifugo yake labda
Yep..Tusilimu au tukubali kutawaliwa kidini na kulipa kodi ya ukafiri (jizya)Kwahiyo kwa mujibu wa hiyo Aya sisi tusiokuwa Waislamu tunatakiwa tupigwe hadi tusilimu sio.
Yep that is a good thing...Tuendelee kupambana ibaki hivyo...Maana anaweza siku 1 kuibuka mlevi mmoja akataka waanze kufundiSha Jihad Mashuleni.
(Mimi nlisoma shule ya kiislam, yani zile shule za waarabu..Na kulikuwa na topic ya Jihad form 4...mpka tukawa tunataniana na wanafunzi wenzangu kuwa Jihad ikianza bongo mimi ntakuwa wa kwanza kushika panga na kumaliza kichwa cha hussein (alikuwa mshakaji)
Wacha kumpakazia Mtume , alisema wapi maneno hayo ?? ulikuwepo ??
Msipige watu na kuuwa halafu vijana wakijaribu kujitetea mkatafuta sababu ya jihadi, ugaidi , siasa kali , yaani mfanye mtakavyo mpaka lini ??
Zanzibar ilikuwa dola miaka miaka mingi kabla ya muungano na watu walikuwa wakiishi kwa amani tena kwa mafanikio makubwa. Kama ulikuwa hujui Zanzibar ilikuwa na ustawi wa hali ya juu na kituo kukuu cha kibiashara toka miaka 200 KK na wafanyabiashara kutoka pande zote za dunia walifurika Zanzibar na pwani ya Afrika Mashariki kufanya biashara. Kwahiyo, hata bila muungano maisha yangeendelea Zanzibar. Sana sana huu muungano ndiyo umewakwaza zaidi Wazanzibari kimaendeleo.Udumu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Bila huu Muungano uliotukuka kuna upande mmoja usingekalika.