Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Magufuli alikuwa Benevolent Dictator yaani Dikteta kwa viongozi wenzake na rafiki kwa Wananchi,ambao mimi nadhani ni mfumo mzuri kuliko tulionao sasa ambapo serikali imekuwa corrupt inakandamiza Wananchi kwa maslahi ya watu wachache.
Nadhani utaelewa maana woye tunafanya Manunuzi sokoni na hali mpaka sasa inajulikana.
sasa unalia na gharama za chakula na unaona athari za ukame ni kubwa mkuu..
 
Hao wanaowahifashi huwa wananufaika na nini?

Polisi fyekeni hao wapuuzi wote wakome kabisa.
Wakiwafyeka wanasiasa watawapandikiza chuki kwamba serikali kandamizi inaua raia wake kama vile viroba vya pwani

Panyaroad walianza kujiimarisha kuelekea kuwa majambazi wakubwa, kwa kushirikiana na matajiri kiasi cha kupatiwa magari ya kufanyia uhalifu.

Wiki zilizopita wamepekewa moto na polisi, wanasiasa mkaanza kusema serikali inaua watu
 
Nakumbuka ssh aliwahi kusema zenji ni kisiwa kidogo sana ila ni eneo hatari kwa usalama wa nchi.

Polisi isicheke na nyani awamu hii mana hao jamaa ni washenzi na makatiri mbaya..hakuna kupeleka mtu mahabusu awamu hii.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mnakawiaga kugeuka sasa
 
Serikali ilikemee hili kwa nguvu kubwa otherwise tutaenda kuwa kama Nigeria...kule ugaidi na unyama vimefikia hatua mbaya mbaya mbaya sana..magaidi juzi wameteka mamia ya watu kijijini na kuwakusanya uwanjani na kuwafyatulia risasi then yakaondoka na mateka pamoja na mifugo wengi...hao mateka yanakuwa yanawatoa kwa kufidiwa yakidai kiasi cha pesa...wanawake wafanywa kama wake...yaani inasikitisha
Serikali yetu isiwape nafasi kabisa ya kuishi watu wote wanaoendeleza ugaidi na upanyarodi wamalizwe kimya kimya ni hatari sana kwa usalama taifa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wale mashehe wameanza tena
Yaani wakiona tu Muislamu kushika nchi kama Raisi huwa wanaibuka
Waliibuka kipindi cha Mwinyi wakasumbua hasa wakipora misikiti ya Bakwata na fujo kibao zikiwemo kuvunja mabucha ya nguruwe ,nk

Kipindi cha Kikwete wakaibuka kwa kasi ya ajabu tena wakimwagia watalii tindikali Zanzibar ,Wakichoma makanisa na ugaidi ukapamba moto Tanga,Mwanza ,Mkuranga,Kibiti na Rufiji nk huku Askari wakiuawa mchana kweupe wakiwa malindo yao iwe vituoni au barabarani na kuporwa silaha

Mama alivyoingia tu wakaona muislamu wakaibuka mdogo mdogo akaanza yule msomali aliyeua askari Salender Bridge na ubalozi wa Ufaransa!!
Wengine humu tuliongea kupinga wale mashehe wa uamusho kuachiwa tukaonekana punguani tu.

Haya sasa hayo yameshaanza wakati yalishakuwa yamekomeshwa.Mama alikosea kuwaachia wale mashehe wa Uamsho
 
Hii sentensi yako ndio unajaribu kusema nini ???

" Ukisoma hayo maneno ya Hiyo Luka sio maneno ya yesu..ilikuwa story ambayo yesu alikuwa anawasimulia watu."

Tatizo ni wakristo pia pakisemwa kitu na watawala hasa hawa ambao hawatendi haki kuhusu waislamu mnakuja mbio na maneno ya hao wanaleta jihadi , siasa kali , magaidi , bila kwanza kuchunguza .

wakristo ndio chanzo cha fujo nyingi zinazotokea hivi sasa ulimwenguni . Hufanya mambo na kutunga majina al qaida, Isis na mengineyo ili kuwachanganya watu kama nyinyi.

Biblia imejaa mambo kama hayo ya ugaidi utumwa mauwaji nk

Kinyume chake Qurani imekuja kuleta haki . Nyinyi wakristo mnakimbilia mbio kuchukuwa aya out of contex ili kujifurahisha au kuwakebehi waislamu
Jaribu kutumia akili sio mihemko..na uwe mkweli sio muongo muongo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya mapinduzi ya 1964 na huu muungano lini uliwahi kusikia Wazanzibari waliuana au kupigana? Chuki zilizoko kule zilipandikizwa na Kabwela na watu wake kwa maslahi mapana ya kanisa lake na mabeberu ambao hawakutaka kuiona Zanzibar ikisimama kama dola kwa hofu za udini. Wenye akili wanaelewa hili.
Kwahiyo rais wa JMT muislamu, rais wa Z'bar Muislamu, kamishina muislamu, na viongozi wote wa Zanzibar ambao nina hakika ni waislamu wanaihujumu Zanzibar?
 
CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.
Vijana wetu wataponea wapi?
  1. Wanabakwa kwenye nyumba za ibada
  2. Wanafundishwa uasi kwenye nyumba za ibada
 
Yaani wakiona tu Muislamu kushika nchi kama Raisi huwa wanaibuka
Waliibuka kipindi cha Mwinyi wakasumbua hasa wakipora misikiti ya Bakwata na fujo kibao zikiwemo kuvunja mabucha ya nguruwe ,nk

Kipindi cha Kikwete wakaibuka kwa kasi ya ajabu tena wakimwagia watalii tindikali Zanzibar ,Wakichoma makanisa na ugaidi ukapamba moto Tanga,Mwanza ,Mkuranga,Kibiti na Rufiji nk huku Askari wakiuawa mchana kweupe wakiwa malindo yao iwe vituoni au barabarani na kuporwa silaha

Mama alivyoingia tu wakaona muislamu wakaibuka mdogo mdogo akaanza yule msomaji aliyeua askari Salender Bridge na ubalozi wa Ufaransa!!
Wengine humu tuliongea kupinga wale mashehe wa uamusho kuachiwa tukaonekana punguani tu.

Haya sasa hayo yameshaanza wakati yalishakuwa yamekomeshwa.Mama alikosea kuwaachia wale mashehe wa Uamsho
Huwa wanatokea wapi hawa watu? Ni hawa ndio walishinikiza Said Mwema na Mrisho Kikwete wawatie ndani masheikh?

Watu hatari na wana nguvu kweli
 
Kumbe tunaongozwa na Serikali ya kikafiri? 😁
 
Wakiwafyeka wanasiasa watawapandikiza chuki kwamba serikali kandamizi inaua raia wake kama vile viroba vya pwani

Panyaroad walianza kujiimarisha kuelekea kuwa majambazi wakubwa, kwa kushirikiana na matajiri kiasi cha kupatiwa magari ya kufanyia uhalifu.

Wiki zilizopita wamepekewa moto na polisi, wanasiasa mkaanza kusema serikali inaua watu
Nani hajui kuwa hao ni panya road?
 
Imepokelewa kutoka kwa Ibn ‘Umar (Radhwiya Allaahu 'anhumaa) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Nimeamrishwa nipigane vita na watu mpaka washahidie kwamba hakuna Muabudiwa wa haki ila Allaah na kwamba Muhammad ni Rasuli wa Allaah, na wasimamishe Swalaah na watoe Zakaah. Watakapofanya hivyo, watakuwa wamepata himaya Kwangu ya damu zao, na mali zao isipokuwa kwa haki ya Uislamu, na hesabu yao itakuwa kwa Allaah Ta’aalaa.” [Al-Bukhaariy na Muslim]
 
Kwahiyo rais wa JMT muislamu, rais wa Z'bar Muislamu, kamishina muislamu, na viongozi wote wa Zanzibar ambao nina hakika ni waislamu wanaihujumu Zanzibar?
Mashehe wa uamsho walidakwa kipindi Zanzibar Raisi Muislamu Dr Shein na Raisi wa muungano Muislamu Dk Kikwete

Wanapenda sana kuhujumu Serikali za waislamu wenzao

Akishika Mkristo wanaufyata huwaoni!! Wanatokomea gizani.Katika changamoto Mama Samia ajiandae kisaikolojia kupambana nayo ni hayo makundi ya siasa kali .Uzoefu unaonyesha hupenda kusumbua Raisi wa muungano akiwa Mwislamu!!
 
Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.

Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha Quran zinazohamasisha vijana kujiunga na kuziondoa serikali zote za kikafiri, hivyo kuashiria kuwa hayo ni mafunzo ya kigaidi.

CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.

Pia, soma:
The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani
Wajinga hao acha wabebeshwe silaha watu wanachimba mafuta na Madini kuendesha Nchi majinga yanatumika yanaacha kulima karafuu
 
Huwa wanatokea wapi hawa watu?
Huwa wapo ila wakiona Serikali iko serious huufyata mkia

Trend inaonyesha akishika Raisi wa muungano muislamu ndio huibuka kea nguvu toka huko mafichoni !! Na ku intensify shughuli zao

Mama ana kazi kubwa kuwadhibiti hao siasa kali!!
 
Bara vijana Panya road.
Zanzibari vijana na Ugaidi.
Kuna shida mahali. Wanapata wapi hili gape la kukusanyana kufanya mafundisho hadi kupanga matukio?
Kumbe Serikali haina mkono mrefu km inavyosemwa?
 
Back
Top Bottom