Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Mfano alotoa Yesu kwa mtawala yupo na mfano huo yaani mtawala auwe watu ? Au vipi ?acha uwongo haya sio maneno isipokuwa mfano aliotoa yesu kwa mtawala aliyetawala mahala fulani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano alotoa Yesu kwa mtawala yupo na mfano huo yaani mtawala auwe watu ? Au vipi ?acha uwongo haya sio maneno isipokuwa mfano aliotoa yesu kwa mtawala aliyetawala mahala fulani..
Jaribu usitumie akili sio kuleta pumba bila ushahidiJaribu kutumia akili sio mihemko..na uwe mkweli sio muongo muongo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kutoka kwa Swakhr bin Al-‘Aylah[38] (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema kuwa Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Watu wanaosilimu, wamehifadhi damu zao na mali yao.”[39] [Imetolewa na Abuu Daawuwd na wapokezi wake ni madhubuti]Mkuu huo sio ugaidi wa kidini.
Ugaidi wa kidini ni pale watu wanapoua kwa sababu za kidini, wakiamini wanachofanya ni maagizo kutoka dini yao husika na maandiko.
Hao ETA na IRS wote wanafanya siasa zao bila kuhusisha maandiko ya dini yoyote...hayo ni makundi ya kisiasa zaidi.
(Granted. hawafanyi huo ugaidi kwa sababu za kidini bali zingine kama za kisiasa, kitamaduni nk.)
Muislam akienda kuua watu kwenye kikao cha CCM huku akisema "CCM wote ni maadui" tunasema ni gaidi ila sio gaidi wa kidini...ila akiua huku anasoma mafungu ya Quran na kusema anampigania Allah ..Huo ndio ugaidi wa kidini sasa.
Hayo makundi uliyotaja yanaweza kuwa yalikuwa na wafuasi wakatoliki /waprotestant (Ireland, % kubwa ni wakatoliki) lakini hayakufanya ugaidi ili kutetea dini.
Ishu ni motivation ya kufanya huo ugaidi ni ipi?
Na hata tuseme basi ni kweli, hao IRS na ETA ni makundi ya kigaidi ya kikristo....Bado sio solution na haiondoi uhalisia ya uwepo wa ugaidi kwenye uislam.
Mtu anakuambia nyumba yako inawaka, wewe unakimbilia kuangalia kama na ya kwake inawaka badala ya kuanza kuizima yako ... ukirudi utakuta imebaki majivu.
Ugaidi ni Ugaidi...Unapaswa ukemewe, iwe unatokana na Siasa, Ukabila au Dini yoyote.
Kutokuwa na Ajira haikupi wewe uharali wa kujiunga na ugaidi, Mimi Nina miaka 15 bila Ajira Ila Sina mpango wa kujiunga na ugaidi.Vijana wasio na ajira ni rahisi kujiingiza kwenye vikundi kihalifu.
Hayo si maneno ya YESU, bali ni mfano aliokuwa akiutoa embu anza kusoma Luka 19:11-27 ndiyo utapata maana .
Juzi wanasiasa wamepiga kelele sana wananchi wakaliungaNani hajui kuwa hao ni panya road?
Tanzania kipindi cha Raisi Mwinyi tulishakaribia hukoSerikali ilikemee hili kwa nguvu kubwa otherwise tutaenda kuwa kama Nigeria...kule ugaidi na unyama vimefikia hatua mbaya mbaya mbaya
Dizaini kama yanadeka yakijua rais ni wa dini yaoHuwa wapo ila wakiona Serikali iko serious huufyata mkia
Trend inaonyesha akishika Raisi wa muungano muislamu ndio huibuka kea nguvu toka huko mafichoni !! Na ku intensify shughuli zao
Mama ana kazi kubwa kuwadhibiti hao siasa kali!!
Nmb. . N..Yep, watoto kubakwa ni jambo baya sana popote itakapotokea, iwe kanisani kwa mapadri, Madrassa kwa maostaz au shuleni kwa Walimu.
Tatizo la kubakwa watoto huwa ni tamaa za kibinadamu hivyo ni ngumu kupambana nalo maana huwezi kujua kesho binadamu yupi atawaka tamaa na kuamua kubaka.
ila hiyo ni nje ya mada husika....Kwenye mada tulikuwa tunaongelea tatizo la ugaidi wa kidini..Na hili tatizo unaweza kupambana nalo maana unajua kabisa chanzo ni kipi(Ni dini), ni watu gani wanaosambaza hizi agenda(viongozi wa kidini), na ni aina gani ya watu wanaojihusisha na huu ugaidi(wafuasi wa hiyo dini).
Kwahyo ni rahsi kuwafuatilia na kuwapata...ila kwa mapadri kubaka ni ngumu maana hakuna andiko linalowaagiza wabake watoto. Ni sawa na mwizi wa kuku mtaan, hakuna andiko analofata lililomtuma kuiba kuku...Au hakuna sehemu wezi wa kuku hukutana kuhamasishana kuiba kuku.
ndomana kuna watawala wanauwa watu mpaka Leo sio pendezo la mungu ni dhambi na chukizo lakini mungu hawauwi mana yeye ni mwing wa rehema anaeye ijua kesho ya mtu mbaya na hata mzuri hivyo yesu alitoa mfano kwasababu alijua watu hao wapo na yeye hakuja kuwaambia waache alikuja kuhubiri habari njema mwenye kufata njia zake afate na asiyetaka aache ...sio kama ambavyo mtume amesema Uwa kwajili ya mungu au dini ukristo ni hiyari passion sio kitishoMfano alotoa Yesu kwa mtawala yupo na mfano huo yaani mtawala auwe watu ? Au vipi ?
Ndivyo Luka 19:27 inavyosema hivyo ?? Mbona unajifanya msemaji wa Bwana Yesu ??ndomana kuna watawala wanauwa watu mpaka Leo sio pendezo la mungu ni dhambi na chukizo lakini mungu hawauwi mana yeye ni mwing wa rehema anaeye ijua kesho ya mtu mbaya na hata mzuri hivyo yesu alitoa mfano kwasababu alijua watu hao wapo na yeye hakuja kuwaambia waache alikuja kuhubiri habari njema mwenye kufata njia zake afate na asiyetaka aache ...sio kama ambavyo mtume amesema Uwa kwajili ya mungu au dini ukristo ni hiyari passion sio kitisho
Sio Vijana wote wako tayari kulamba makalio ya lumumba ili kujipatia buku saba.Kutokuwa na Ajira haikupi wewe uharali wa kujiunga na ugaidi, Mimi Nina miaka 15 bila Ajira Ila Sina mpango wa kujiunga na ugaidi.
Dizaini kama yanadeka yakijua rais ni wa dini yao
Ukame upi Mkuu,Chakula kumeuzwa nje ya nchi!sasa unalia na gharama za chakula na unaona athari za ukame ni kubwa mkuu..
Kwamba watabembwa na mbeleko kwa ujinga wao watakao ufanya..bure kabisa hivi vijamaa.Dizaini kama yanadeka yakijua rais ni wa dini yao
Znz inaNdomaana ingekuwa vizuri sna kama zanzibar ingejitenga ili tuone kama hii kauli ina ukweli au lah! Somalia zilianza hivhivi
Soma vizuri utaelewa. Ukikurupuka huwezi kuelewa. Zanzibar haikuwa na hayo matatizo kabla ya huu muungano.Kwahiyo rais wa JMT muislamu, rais wa Z'bar Muislamu, kamishina muislamu, na viongozi wote wa Zanzibar ambao nina hakika ni waislamu wanaihujumu Zanzibar?
Yetu wewe na nani? wewe ni mkristo alafu unataka kujiweka kwenye kundi la waislamu.. Ivyo vikundi vya al shabab na IS ni vya west wenyewe wamevianzisha kwa manufaa yao kwa mujibu wa mafunzo yaliyopo kwenye Qurani tukufu na sunah za mtume muhamad s.a.w kitendo cha kujitoa uhai tu ni haramu kwenye uislamu na kingine kuuwa nafsi isiyokuwa na hatia ni dhambi hakuna anayeenda peponi apo kati ya wanaojilipuaImani ya Kikristo ipo tofauti kabisa na hii yetu ya Kiislamu, ni kujaza ujinga kwa vijana kuambiwa ukijipua unakwenda kupata ma bikra 32 ahera.. sasa unajiuliza huyo mwalimu si ajilipue yeye akawapate hao ?