Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Vijana wanalishwa sumu. Ili wajilipue mabomu

Quran ina verse zaidi ya 40 zinazoongelea vita ya kupigania dini (Jihad)

Magaidi wanazitumia hizo verse kuwashawishi vijana watoroke kwao na kwenda kupigana vitu ya kidini...
Extremist religious beliefs
 
Kwenye Definition ya "Ugaidi" hata mbinu za CCM dhidi ya Chadema pia ni ugaidi, hebu fikiria Uvccm wanapojisifia kuchinja wenzao hebu fikiria Tulia anavyochochea watu "wanyooshwe" sio poa kabisa.
 
Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.

Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha Quran zinazohamasisha vijana kujiunga na kuziondoa serikali zote za kikafiri, hivyo kuashiria kuwa hayo ni mafunzo ya kigaidi.

CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.

Pia, soma:
The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani
hapa mudi wa saigon huwezi kumuona akitia pua.
 
Nyinyi mlishaambiwa na Pengo Muungano kauweka mungu wenu Yesu na kawapa kazi ya kuulinda kwa nguvu zote , Kazi kwako

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.

Kardinali Pengo anasema ni jambo la kushangaza jinsi Mungu anavyotenda mambo yake kwa wanadamu kwani alileta Imani Katoliki kupitia Zanzibar na kwamba baada ya Uhuru Mungu aliwapatia neema watu wake wa pande mbili za Zanzibar na Tanganyika kuungana na kuwa kitu kimoja.

Anasema wakati Kanisa likijiandaa kwa adhimisho la Jubilei ya miaka 150 ya uwepo wa Kanisa Katoliki katika eneo la Afrika Mashariki ifikapo 2018 Zanzibar haiwezi kuwekwa pembeni.

Kuhusu utendaji wa serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kardinali Pengo anasema hali inaonesha viongozi wa taifa hili wameanza vizuri na kasi yao inaleta matumaini makubwa.
Sisi kina nani mkuu
 
Samia ni mbishi hasikii aliambiwa hao Uamsho watakusumbua waache kwanza akaleta udini mbele kuliko Tanzania,sasa wanachafua amani ya nchi yeye anazurura Dubai kwenda kuuza rasilimali za nchi.
 
Kuna siku moja nilikuwa ufukweni bagamoyo kuna madogo walikuwa wametoka zanzibar wamekarishwa kama kambi hotel x iko pembezoni mwa bahari wanafanyiwa brain wash... Na lilivyokuja kutokea tukio la watoto kupotea nikaunganisha dot kadhaaa.... Usalama wa taifa waamke kutoka usingizini hawa madogo wanahadiwa maisha mazuri lkn sio kweli haambuli chochote
 
Znz ina

Soma vizuri utaelewa. Ukikurupuka huwezi kuelewa. Zanzibar haikuwa na hayo matatizo kabla ya huu muungano.
Sasa tatizo nini? Yaani nani mwenye nguvu kuzidi hao niliowataja anaweza kufanya atakacho huko Zanzibar.

Yaani Jk, Mwema, Kamishina na watawala wote wa zanzibar ni waislamu, ni mtu baki gani wa bara ana ubavu kusababisha hao niliowataja wakashurutishwa kuwakamata masheikh na kuwatupa lupango mpaka wakasahaulika huko?
 
Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.

Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha Quran zinazohamasisha vijana kujiunga na kuziondoa serikali zote za kikafiri, hivyo kuashiria kuwa hayo ni mafunzo ya kigaidi.

CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.

Pia, soma:
The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani
Samia ni mbishi hasikii aliambiwa hao Uamsho watakusumbua waache kwanza akaleta udini mbele kuliko Tanzania,sasa wanachafua amani ya nchi yeye anazurura Dubai kwenda kuuza rasilimali za nchi.
 
Kabisa Raisi akiwa Mwislamu taabu na shida kutawala atapata kutoka kwa waislamu wenzie sio wakristo .Hilo mama ajiandae kisaikolojia
Acha Udini wewe, Samia alisema tabu na shida za kutawala atapata kutoka kwa "WaKijani" wenzie baada ya "kutonywa" na Mzee Wiseman wa Makamo.👇

CCM ndio adui yetu sote.
 
Samia ni mbishi hasikii aliambiwa hao Uamsho watakusumbua waache kwanza akaleta udini mbele kuliko Tanzania,sasa wanachafua amani ya nchi yeye anazurura Dubai kwenda kuuza rasilimali za nchi.
Ulimwambia wewe?
 
Kabisa Raisi akiwa Mwislamu taabu na shida kutawala atapata kutoka kwa waislamu wenzie sio wakristo .Hilo Mama Samia ajiandae kisaikolojia Tena kwa kuwa ni mwanamke shughuli pevu Wanaume wa kiislamu wale swala tano itikadi kali na siasa kali waamini mwanamke anatakiwa kukaa ndani watampa shida alipokuwakabili kwa nguvu kuwadhibiti.
Hivyo mnavyomsema Samia na matusi mengi hamjioni ?
 
Mudi mfia dini yule..chongo ataita kengeza

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Kuna siku moja nilikuwa ufukweni bagamoyo kuna madogo walikuwa wametoka zanzibar wamekarishwa kama kambi hotel x iko pembezoni mwa bahari wanafanyiwa brain wash... Na lilivyokuja kutokea tukio la watoto kupotea nikaunganisha dot kadhaaa.... Usalama wa taifa waamke kutoka usingizini hawa madogo wanahadiwa maisha mazuri lkn sio kweli haambuli chochote
Wacha kutupakazia
 
Back
Top Bottom