Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Hahahaaaa haya bna..Islamic knowledge o&a level inafundisha kabisa kwamba Sharia tz haiwezekani sababu Pana Imani tofauti
 
Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Unaachaje kuwahusisha na dini wakati ugaidi wanaoufanya uko motivated na dini...Na mahali wanapokuwa recruited ni kwenye majengo ya kidini...Na ideology yao kubwa wanaitoa kwenye vitabu vya dini.

Atakuwa mwenda wazimu tu asiyehusisha huo ugaidi na dini.
 
Nikweli,pia wawe makini huko kwenye mafundisho makanisani,maana mapadri wanafffira watoto imebainika, yule juzi kawakaza watoto kumi
Yep, watoto kubakwa ni jambo baya sana popote itakapotokea, iwe kanisani kwa mapadri, Madrassa kwa maostaz au shuleni kwa Walimu.
Tatizo la kubakwa watoto huwa ni tamaa za kibinadamu hivyo ni ngumu kupambana nalo maana huwezi kujua kesho binadamu yupi atawaka tamaa na kuamua kubaka.

ila hiyo ni nje ya mada husika....Kwenye mada tulikuwa tunaongelea tatizo la ugaidi wa kidini..Na hili tatizo unaweza kupambana nalo maana unajua kabisa chanzo ni kipi(Ni dini), ni watu gani wanaosambaza hizi agenda(viongozi wa kidini), na ni aina gani ya watu wanaojihusisha na huu ugaidi(wafuasi wa hiyo dini).

Kwahyo ni rahsi kuwafuatilia na kuwapata...ila kwa mapadri kubaka ni ngumu maana hakuna andiko linalowaagiza wabake watoto. Ni sawa na mwizi wa kuku mtaan, hakuna andiko analofata lililomtuma kuiba kuku...Au hakuna sehemu wezi wa kuku hukutana kuhamasishana kuiba kuku.
 
Kawachukue uwapeleke MIGA.
 
Hahahaaaa haya bna..Islamic knowledge o&a level inafundisha kabisa kwamba Sharia tz haiwezekani sababu Pana Imani tofauti
Yep that is a good thing...Tuendelee kupambana ibaki hivyo...Maana anaweza siku 1 kuibuka mlevi mmoja akataka waanze kufundiSha Jihad Mashuleni.
(Mimi nlisoma shule ya kiislam, yani zile shule za waarabu..Na kulikuwa na topic ya Jihad form 4...mpka tukawa tunataniana na wanafunzi wenzangu kuwa Jihad ikianza bongo mimi ntakuwa wa kwanza kushika panga na kumaliza kichwa cha hussein (alikuwa mshakaji)
 
Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Km kitabu cha dini kina maandiko yanayohamasisha jihadi na kuuana kwa minajili ya kutetea hiyo imani kwanini hayo matendo yasihusiane na hiyo dini?

Lazima kukubali kuna dini mafundisho yake yana shida na ili kuondoa hii shida inabidi wakubali kuyaondoa hayo mafundisho kwenye kitabu chao,la sivyo hii hali itaendelea kujirudia rudia huko mbeleni.
 
Hamna mwenye akili timamu wa kumkumbuka dikteta ,Ni nyie mifugo yake labda
Magufuli alikuwa Benevolent Dictator yaani Dikteta kwa viongozi wenzake na rafiki kwa Wananchi,ambao mimi nadhani ni mfumo mzuri kuliko tulionao sasa ambapo serikali imekuwa corrupt inakandamiza Wananchi kwa maslahi ya watu wachache.
Nadhani utaelewa maana woye tunafanya Manunuzi sokoni na hali mpaka sasa inajulikana.
 


Wacha kujipakazia
 
Wacha kumpakazia Mtume , alisema wapi maneno hayo ?? ulikuwepo ??


Msipige watu na kuuwa halafu vijana wakijaribu kujitetea mkatafuta sababu ya jihadi, ugaidi , siasa kali , yaani mfanye mtakavyo mpaka lini ??

.
 

Attachments

  • Screenshot_20221005_095550_com.huawei.browser.jpg
    82.3 KB · Views: 8
Udumu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Bila huu Muungano uliotukuka kuna upande mmoja usingekalika.
Zanzibar ilikuwa dola miaka miaka mingi kabla ya muungano na watu walikuwa wakiishi kwa amani tena kwa mafanikio makubwa. Kama ulikuwa hujui Zanzibar ilikuwa na ustawi wa hali ya juu na kituo kukuu cha kibiashara toka miaka 200 KK na wafanyabiashara kutoka pande zote za dunia walifurika Zanzibar na pwani ya Afrika Mashariki kufanya biashara. Kwahiyo, hata bila muungano maisha yangeendelea Zanzibar. Sana sana huu muungano ndiyo umewakwaza zaidi Wazanzibari kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…