Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Chama kinajiingiza kwenye matatizo na serikali yasiyo ya lazima. Mbowe ana haki ya kuwakilishwa na tayari ana wakili sasa huu uhuni unaofanyika sasa hivi ni suala la muda kabla serikali haijakibana.Kifupi tuseme hii kesi ni Kati ya Serikali na Wanasheria!
Sheria ni pamoja na mbinu bwashee!Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"
Mawakili wasomi 386 ni Bavicha manka?Bavicha akili zenu ni pumba yani nyie nima popoma wa kiwango cha SGR ndiyo mana nduli mwenyekiti wenu ameziweka akili zenu mfukoni mwake.
Chama gani bwashee?!Chama kinajiingiza kwenye matatizo na serikali yasiyo ya lazima. Mbowe ana haki ya kuwakilishwa na tayari ana wakili sasa huu uhuni unaofanyika sasa hivi ni suala la muda kabla serikali haijakibana pumbu.
Ukibonyezwa vizuri zitakurudiTLS ni kama imetekwa na Chadema.
Acha unaa John ukiweza jiandikishe nawewe.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
TLSChama gani bwashee?!
Wanatakiwa wabanwe wabambikaji.Chama gani bwashee?!
386 ni % ndogo sana ya mawakili wote nchini!
Ccm kwisha, kwisha kabisa, nyanganyanga mlalo wa chali kifo cha mendeTLS ni kama imetekwa na Chadema.
Hakuna kitu kama hichoMjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Yaani kila siku wanaaambulia aibu na fedheha na hawakomi. Sisi tunaendelea kumlilia Mungu. Wahusika wote watapukutika tu.Mambo mengine serikali inafanya ya ajabu sana, ona Sasa wanavyoenda kuvuliwa nguo!
Kwahiyo sio mawakili😅😅Hayo ni maandamano ... IGP Siro kapigwa chenga hapo
😅😅Kwakweli hawa wanaobambikiza kesi na tuhuma hata akili hawatumii. Mbowe ana historia yake iliyotukuka Magufuli kafa anaijua.Samia anaijua.Ila Tz kuwa mpinzani unaitwa majina ya kila namna,eti leo bilionea Mbowe ni gaidi sijui Mwigulu aitweje sasa
Mkuu..watawala washenzi sana hawa.Serikali ya hovyo sn hii