Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtetea gaidi ni kupoteza muda.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
😀 😀 😀Mawakili Wasomi wanao jitambua kamwe hawawezi kujihusisha, hawatokubali kujichafua na kinyesi hiki.
Huu mtanange ni Hatari ..ngoja tuungojeKifupi tuseme hii kesi ni Kati ya Serikali na Wanasheria!
Lini DPP atasema hana interest na hii case?Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Wengine wanatoa tu ushauri kwa wenzao,hii Kesi naona Wanasheria wote TZ mpaka wa Serikalini wameamua kuwa upande mmoja .Si TLS walichimba mkwara pia kwa Serikali Mkuu?!!386 ni % ndogo sana ya mawakili wote nchini!
Si wote ni member kule Mkuu?Hao mawakili hawamtetei Mbowe kwa niaba ya TLS bwashee!
Unamaanisha kiongozi wa kisiasa hawezi kutuhumiwa kwa makosa ya Ugaidi?!Wingi wa mawakili katika kesi hiyo, tunaweza kutafsiri kuwa kesi hii imewagusa watu wengi sana. Unaposema Kiongozi wa Kisiasa ni Gaidi unasababisha wasomi wa sheria kukusanyika na kutafuta tafsiri sahihi. Hakika siku itafika ukweli utajitenga na uongo na itakuwa aibu kubwa kwa upande mmoja.
Mungu atatenda kwa haki na haki itatamalaki
upo mahakamaniHuo muongozo uko wapi ?
CCM hawana aibuWingi wa mawakili katika kesi hiyo, tunaweza kutafsiri kuwa kesi hii imewagusa watu wengi sana. Unaposema Kiongozi wa Kisiasa ni Gaidi unasababisha wasomi wa sheria kukusanyika na kutafuta tafsiri sahihi. Hakika siku itafika ukweli utajitenga na uongo na itakuwa aibu kubwa kwa upande mmoja.
Mungu atatenda kwa haki na haki itatamalaki
Hawa ni watala magaidi mkuuMkuu..watawala washenzi sana hawa.
Mtu nyeti kama Mh. Mbowe anatakiwa kutetewa na mawakili wasomi kama hivyo.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Hao mawakili wana ufahamu na kesi za Kigaidi? Wameisoma vizuri sheria ya Ugaidi? Wana ufahamu wa kutosha wa kisheria linapokuja suala la ku_finance Ugaidi? Au ndio zile zile akili za KINYUMBU?Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?